Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Bora iwe hivyo!Itakuwa ni hali ya hewa!
Meko mwenyewe alikuwa anakohoa kohoa wiki kadhaa kabla hajadanja.Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!
Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.
Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19
Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!
Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Kwa hiyo "daktari wa Rais" umeshajua kuwa rais wetu ana Covid? Sawa mheshimiwa daktari!Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!
Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa
Acha kutisha watu. Leo kuna video imerekodiwa India, watu wanaendelea na activities zao kama kawaida. Punguza kumeza sumu za media bila kutafiti. Hiyo panic ipo kwenye media na wasaidizi wao kwenye kusambaza kama wewe.Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!
Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.
Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19
Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!
Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Na amegoma kuvaa barakoaLeo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!
Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.
Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19
Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!
Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Hongera kumbe siku hizi umekuwa physician wa namba moja.Itakuwa ni hali ya hewa!
Anasogezewa kazi siyo?Namuona Makamu wa rais anachekelea chekelea
Amekumbukwa ni vijihoma na vimafua vidogo vidogo tu.,Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!
Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.
Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19
Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!
Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Hivi si yupo kwenye mfungo??Hapati maji ya kupooza koo, kuongea mfululizo bila kupooza koo si mchezo.
Vumbi la uwanja wa ndege mwanza linapalia sanaLeo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!