Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

Kwa hiyo "daktari wa Rais" umeshajua kuwa rais wetu ana Covid? Sawa mheshimiwa daktari!

Acha kutisha watu. Leo kuna video imerekodiwa India, watu wanaendelea na activities zao kama kawaida. Punguza kumeza sumu za media bila kutafiti. Hiyo panic ipo kwenye media na wasaidizi wao kwenye kusambaza kama wewe.

Acheni kuwatisha watu. Kama Korona inatisha kiwango hicho acheni watu waone na siyo kutunga vitu ambavyo havipo kuchochea hofu!
Kumbuka india ina watu bilioni 1 +
Ni soko kubwa la midawa yao ya chanjo.

Kwa hiyo panic lazima itengenezwe!

Brazil na Marekani kwennye vifo zaidi ya laki 5 kila mmoja hakuna panic kama india kwenye vifo laki 2.
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Nami nimemsikia,na hofia sana afya yake
 
Tayari hii kitu usiwe na hofu wala mashaka.

Pfizer / Sputnik​

unajuaje ni mafua, na si kikohozi au C-19 tayari?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa hiyo "daktari wa Rais" umeshajua kuwa rais wetu ana Covid? Sawa mheshimiwa daktari!

Acha kutisha watu. Leo kuna video imerekodiwa India, watu wanaendelea na activities zao kama kawaida. Punguza kumeza sumu za media bila kutafiti. Hiyo panic ipo kwenye media na wasaidizi wao kwenye kusambaza kama wewe.

Acheni kuwatisha watu. Kama Korona inatisha kiwango hicho acheni watu waone na siyo kutunga vitu ambavyo havipo kuchochea hofu!

Corona haiitishi? Kawaulize India.
 
Ilianza hivi hivi kwa hayati Magufuli katika hotuba yake ya mwisho alionekana akikohoa sana na hatimaye hakuonekana tena baadae.Usalama wa rais unafanya kazi gani?
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imeonekana imeonekana imeathiriwa na Mafua huku akikoha hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Usiwe na hofu mkuu.Nchi hii ina back up kubwa sana ya viongozi.Na pia ina heshimu matakwa ya katiba.nadhani umenielewa
 
Back
Top Bottom