Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

Tangu Corona iingie Tz, kwenye familia yako wameshakufa wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwangu hata rais imemuondoa. Achilia mbali yule makamu wa kwanza wa rais kwa ndugu zetu katika Muungano.

Zaidi sana pichani wote haikuwanusuru:

IMG_20210318_132000_124.jpg

Ungali unahitaji list zaidi katika familia yangu?
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Kawaida yake kupaliwa!
 
Ningeshangaa nisingeona huu uzi!

Hivi adui hasa wa chadema ni Polepole, Bashiru na Magufuli au ccm?
Ni wale wote wenye Mamlaka wanaotawala bila kufuata Sheria na Katiba ya Nchi. Na wale wote wasiopenda Demokrasia.

Mama asipoutegua mtego uliomnasa Mwendazake basi nae halikadhalika atanaswa. Hapo ndipo utakapoona upepo utakavyobadilika.
 
Ni wale wote wenye Mamlaka wanaotawala bila kufuata Sheria na Katiba ya Nchi. Na wale wote wasiopenda Demokrasia.

Mama asipoutegua mtego uliomnasa Mwendazake basi nae halikadhalika atanaswa. Hapo ndipo utakapoona utakavyobadilika.
Kama ndio hivi basi ntaendelea kuitwa wapinzani hadi mnatoweka duniani
 
Kwangu hata rais imemuondoa. Achilia mbali yule makamu wa kwanza wa rais kwa ndugu zetu katika Muungano.

Zaidi sana pichani wote haikuwanusuru:

View attachment 1770079

Ungali unahitaji list zaidi katika familia yangu?
Hao tu?

Kwa mwabwana zako USA wameondoka laki 5 na ushee!

Unaonaje ukahamia huko ili uungane nao kutaja taja corona?
 
Kwangu hata rais imemuondoa. Achilia mbali yule makamu wa kwanza wa rais kwa ndugu zetu katika Muungano.

Zaidi sana pichani wote haikuwanusuru:

View attachment 1770079

Ungali unahitaji list zaidi katika familia yangu?
Huna hoja, endelea kupiga tarumbeta, hayo mabaya mnayoombea taifa yatawarudi kwenye familia zenu,

#Kazi Iendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!

Naona ma great thinker wa mwendokasi, kweli jf imepotea sana hadi mtu akikohoa linaanzishwa THREAD
 
Huyu Mama asije akasababisha tukaangukia kwa wa chini yake.. hatutakubali kufata katiba aisee. Patachimbika.
 
Umeona yanayojiri India?
Bwashe waambie waonapenda kuleta mada JF, hiki ni kitu cha kuleta JF kweli? Mafua ni kitu gani kuwa mazingira ya kitanzania?
 
Sauti yake haiko vizuri kabisa leo,hotuba nzima anarekebisha koo,ni muda wa kuanza kujilinda kikamilifu sasa
Kurekebisha koo ni hali ya kawaida! Mi nadhani sauti ilikuwa vile ilivyosababu ya swaumu pia. Kumbuka mtu anapoongea huku hajanywa hata maji koo lazima litetereke kidogo
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Kwaiyo asikohoe au kuumwa hata vijimafua yeye kawa malaika au??! wafuasi wa magu mna tabu sana
 
Back
Top Bottom