Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

Haifai kudharau wasiwasi wa mleta uzi huu,
Wasiwasi ndio akili !
Mama azingatie kuivisha pua Chupi.Pia avae Gloves kama Malkia wa Uingereza mikononi ili kulinusuru Taifa na kilio kingine cha papo kwa papo na Dunia itanzaga kutucheka na kutuzomea kwa ujuha wetu.
 
Content zako ni nzuri, ila subject matter yako kidogo haikukaa sawa, mtu anaweza kupuuzia kusoma kumbe ndani kuna ujumbe maridhawa.
CORONA ni janga, tusiibeze hata chembe.
 
Uzuri wa hii kitu haikulii wamama
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
 
Kumbuka india ina watu bilioni 1 +
Ni soko kubwa la midawa yao ya chanjo.

Kwa hiyo panic lazima itengenezwe!

Brazil na Marekani kwennye vifo zaidi ya laki 5 kila mmoja hakuna panic kama india kwenye vifo laki 2.
Hivi vifo laki mbili ni idadi ndogo?
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Ushindwe kwa Jina Takatifu la Yesu Kristo wa Nazareth. Mama yetu na kipenzi chetu Samia Mungu anamlinda sawa na Zaburi ya 91

Queen Esther
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Kafanye kazi acha ushamba wa matumizi mabaya ya mitandao hapa ni sehemu ya kuelimishana na mambo ya msingi katika taifa
 
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Tuombe Mungu apitishe mbali tanzia jingine ni mapema mno!
 
Mama afya yake ni njema. Angekuwa anaumwa angesema, hawezi kuficha kama yule mwingine.

JESUS IS LORD
 
Back
Top Bottom