Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale!

Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo.

Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa unakuja kwa mawimbi, Ni dhahiri kuwa ni busara achukue jitihada za kutosha kulilinda Taifa dhidi ya Mawimbi mbalimbali ya Covid-19

Haitoshi tu kutoa kauli za hapa na pale dhidi ya Covid-19 bali serikali yake iwe kiongozi wa kuonyesha mfano kwenye mapambano dhidi ya Covid-19. Viongozi wa serikali wavae barakoa kwenye public!

Sasa hivi India inapigika kwelikweli na Covid-19, nao walikuwa wanaamini wameshashinda hii vita, lakini hii kitu ilipogeuka imekuwa balaa kubwa!
Uko sahihi,hata Mimi nimemsikia. Shida kubwa iko kwa Waziri was Afya ambaye Kikatiba ndo dakitari wake namba moja. Hajaona hili suala ni muhimu. Ni ajabu Sana kuona raisi analindwa kwa mitulinga tuu na siyo kisayansi,na likitokea wanawahisha uwongo.
 
"inabidi mchezaji mwingine aanze kupiga jaramba maana huenda ikawa dakika zisimfae huyu" alisikika Kashasha akisema.
 
Kafanye kazi acha ushamba wa matumizi mabaya ya mitandao hapa ni sehemu ya kuelimishana na mambo ya msingi katika taifa
SAMAHANI kiongoz,huu uzi SI wakupuuza. Hili gonjwa la Deportivo la Corunya,SI la kupuuza. Kumbuka mdharau mwiba,guu huota tende!!! Hata makamu wetu hayuko sawa kwa wale tuliokua nae uwanjani leo. There is a problem
 
Back
Top Bottom