Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Kwanza ieleweke Mbowe huwakata wabunge wake zaidi ya milion kwenye mshahara wa mbunge

Mbowe ajitathimini akae pembeni akili imefika kikomo



Ieleweke kwa nani? weka ushahidi apa acha siasa za Mahaba
 
Rais Magufuli hamwingilii yoyote bali anatimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba!
 
Wanachama wa Chadema jifikirieni Mara mbili
Hivi unawezaje kumpigia mbunge kura akakuwakilishe bungeni matokeo yake anaenda kujificha
 
Mbona rahisi wa nchi kaenda jificha Chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachama wa Chadema jifikirieni Mara mbili
Hivi unawezaje kumpigia mbunge kura akakuwakilishe bungeni matokeo yake anaenda kujificha
Hatukuwachagua wakafe kizembe. Nawaunga mkono wajifiche mpaka watakapoona sasa ni salama wao kurudi bungeni.
 
You are right. That is why we need a new constitution that may review the presidential powers through a powerful a watch-dog machinery. Hiyo ndiyo dawa pekee.
 
Spika Bosi wake ni Mkuu wa CCM, ambaye ni Raisi wa JMTZ, na fedha yote ya Serikali ya JMTZ msimamizi wake ni Raisi wa JMTZ, Bunge linapewa fedha za walipa kodi wa JMTZ na msimamizi wa Kodi zetu ni Raisi wa JMTZ, ...
Mbona wanaosema mwenyeketi wa ccm taifa anaingilia mahakama huwa mnakataa au kubisha kwamba hilo haliwezekani, kwamba Mahakama ziko huru.

Kwa mchanganuo huo huo ulioutoa ukiupeleka mahakamani, na ukaapply mtiririko huo huo, inawesekana.
Sio sawa lakini anawaingilia. Maana kasema NIMEMWAGIZA speaker awakate posho.
 
Ni mkuu wa nchi kwani mbowe anapata wapi mamlaka ya kuzuia wabunge wasiende kwenye vikao vya bunge.unalupwaje mshahara Kama hufanyi kazi.you guys don't politicise.if you don't work never it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mamlaka yapo kwenye mhimili uliojichimbia kwenda chini zaidi..
 
Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ni mkuu wa nchi na kiongozi mkuu wa serikali pia hivyo Spika na Jaji mkuu wako chini yake.

Rais anapotoa maagizo ni vizuri tukaelewa anayatoa katika capacity gani na siyo kuibuka na kuanza kumpinga bila uelewa.
Kwa mfano Rais kama mkuu wa nchi anaweza kulivunja bunge wakati wowote anaporidhika kuna sababu za kufanya hivyo kadhalika anaweza kutoa miongozo fulani kwa Spika au Jaji mkuu.

Tunaposema mihimili ya Serikali, Bunge na Mahakama ni sawa hatumaanishi kwamba viongozi wake wako sawa, la hasha ndio maana mahakama iko chini ya wizara ya katiba na sheria na bunge liko chini ya ofisi ya Waziri mkuu kiutawala.

Mafungu ya fedha za bunge yapitishwa kupitia ofisi ya Waziri mkuu na matumizi yake ni lazima yawe kwa mujibu wa utaratibu wa mlipaji mkuu wa serikali.

Hivyo ni sahihi kabisa Rais Magufuli " kumkumbusha" Spika kwamba fedha ya serikali ina utaratibu wake hivyo wabunge wa Chadema wasiohudhuria vikao wasilipwe posho.
Endapo Spika atapuuza basi taratibu za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

Niko tayari kusahihishwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Halafu eti kuna mjinga mmoja anadai atafia bungeni kupitisha bajeti ya serikali. Wakati wanakula posho tuu za wananchi Spika akiagizwa cha kufanya toka Chato. Hongereni Chadema kuachana na Commedy hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda mnisaidie wadau posho mbunge anaipata pale anapouzuria kikao sasa km hakuuzuria kikao hiyo posho anapata wapi labda kama mshahara ndio auzurie au asiuzurie ndio anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani na wewe ni Kilaza tu! Posho za vikao zinalipwa upon attendance Bungeni. Lazima usaini ndo ilipwe. Cdm kwa kutokuwa kwao bungeni unahisi wataweza kusaini hizi posho? Kwa mazingaombwe? In short, naona Panic tu baada ya composed speech ya juzi yenye kila element ya UONGOZI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hofu aliyoongeza kuhusu corona kuwepo kwenye mbuzi, kondoo na mapapai ni sawa tu kwa kuwa yeye ni rais. Wewe umetokea kwimba au magu?
 
Jiwekeni Karantini tu,posho hakuna.Hivyo ubunge mlisomea wapi nyinyi!
Shubaah miit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo we papai.Toa vifungu
 
Ebo! Kumbe ulitegemea walipwe kwa kujiweka karantine na makahaba hotelini dodoma! Nina uhakika hata mh. Spika angefanya hivyo hata bila kushauriwa na rais! Kama hii kwako ni chungu pole lakini ndio ukwwli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…