Serikali ndiyo inakusanya kodi. Lakini sheria ndiyo.inaendesha nchi kupitia hiyo.inayoitwa katiba. Usijitoe akili katiba imehalalisha wabunge wakikosa imani na Rais wanaweza kupiga kura kumtoa.Ungejiuliza pia haya maswali
Je wabunge wanalipwa na nani mishahara na hizo posho?
Pia bunge linakusanya kodi?
Je maswali namba moja na mbili yakiunganishwa kwa pamoja unahisi kwa akili ya kawaida boss wao ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini walipwe?Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?
My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
yeye si ndiye mwajiri mkuu au nakosea??Kitendo cha kutamka hadharani kwamba ametoa agizo hilo, huoni namna ambavyo amedhihirisha Utawala wake wa Mabavu?
Jibu lipo kwenye hii katuniWakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?
My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Rais anayo mamlaka ya kuzuia wabunge kulipwa Posho??Tuliwaonya Chadema
Picha hii imemaliza kila kitu.Hili swali nimeuliza kutokana na ile dhana ya mgawanyo wa kimadaraka wa mihimili ya dola!!
Soma hapa [emoji116]Rais anayo mamlaka ya kuzuia wabunge kulipwa Posho??
Tuliwaonya Chadema
Mbowe alaumiwe ktk hili
Ukishakua mbunge unafuata sheria za bunge na sio chama
Nitawashangaa wabunge km wataendelea kubaki Chadema
Rais anayo mamlaka ya kuzuia Posho za wabunge??Soma hapa [emoji116]
Hivyo vyeo ulivyovitaja vinahusianaje na Bunge?Mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, analipaje watu posho huku hawaifanyii kazi hiyo posho?
Mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, analipaje watu posho huku hawaifanyii kazi hiyo posho?
Ungejiuliza pia haya maswali
Je wabunge wanalipwa na nani mishahara na hizo posho?
Pia bunge linakusanya kodi?
Je maswali namba moja na mbili yakiunganishwa kwa pamoja unahisi kwa akili ya kawaida boss wao ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huyo Magufuli wako kikatiba anaweza kuzuia posho za Majaji? Au yote ni Kibabe?Bunge linakusanya kodi?
Kama halikusanyi kodi ndiyo watawala wawe na haki kuliingilia kinyume cha Katiba!!??Bunge linakusanya kodi?