wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Spika Bosi wake ni Mkuu wa CCM, ambaye ni Raisi wa JMTZ, na fedha yote ya Serikali ya JMTZ msimamizi wake ni Raisi wa JMTZ, Bunge linapewa fedha za walipa kodi wa JMTZ na msimamizi wa Kodi zetu ni Raisi wa JMTZ, ...
Wasisahau machungwa nayo yanatoka Tanga. Biashara ya Mafenesi ndo bye bye.Comrade leo mmeshapima korona mafenesi mangapi?
PumbavuWakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?
My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Rais siyo "boss" wa Bunge kwa namna yoyote ile!!Rais ni sehemu ya Bunge, ndiye boss.
Katiba inamruhusu. Hapo sio yeye wa kulaumiwaKama Rais anaweza kuliamuru Bunge, kuna haja ya kuendelea kuwa na Bunge la namna hiyo?
Niwaachie wao akina nani?
Katiba inamruhusu? Kwa Ibara ipi ya Katiba. Wengine tunapenda kujifunza!!Katiba inamruhusu. Hapo sio yeye wa kulaumiwa
Ukiiisoma vizuri katiba utagundua Rais ndio mamlaka ya juu kabisa ya nchi.Kama halikusanyi kodi ndiyo watawala wawe na haki kuliingilia kinyume cha Katiba!!??
MHIMILI CHIMBIFUWakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?
My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Kwa hiyo huyo Magufuli wako kikatiba anaweza kuzuia posho za Majaji? Au yote ni Kibabe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza bwashee!Kwa hiyo huyo Magufuli wako kikatiba anaweza kuzuia posho za Majaji? Au yote ni Kibabe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwaasa Chadema
Wabunge wa Chadema wakichaguliwa na Watanzania wakawawakilishe bungeni
Ila Mbowe kwa ubabe wake bila kushirikiana na Spika amewakataza wabunge wa Chadema wasihudhurie vikao
Kwanza ieleweke Mbowe huwakata wabunge wake zaidi ya milion kwenye mshahara wa mbunge
Leo anawakataza wasichukue hata posho ?
Mbowe ajitathimini akae pembeni akili imefika kikomo
Spika yupi wa Kumjibu Rais?Ingependeza kama speaker wa bunge amjibu rais kama alivyofanya speaker wa Uganda juzi kwa rais Museven ili kuonesha nguvu ya bunge kama mhimili unaojitegemea na wenye maamuzi yake so rais auheshimu.
Leo yeye yuko wapi.Mkuu
Tatizo ni elfu 7 .. Hata mama mchungaji alipiga makofi ya kufurahia bungeni wakati moja ya wabunge aliposema ZZK anastahili kuuawa..
Karma
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! umeikoroga kabisa tafsiri yako kuhusu Katiba. Jaji Mkuu na Spika wa Bunge wao taasisi zao haziwezi kusimama kwa kutokuwepo kwao na kanuni za undeshwaji wa taasisi hizo zimewekwa kuzuia Ombwe kutokea viongozi wake Wakuu wanapokuwa hawapo.Ukiiisoma vizuri katiba utagundua Rais ndio mamlaka ya juu kabisa ya nchi.
Spika na Jaji mkuu wanaweza kukaimu urais lakini kinyume chake hakiwezekani.......huo usawa uko wapi hapo?
Kwani posho ni nin mkuu? Me nazani chadema walijua kabisa kujiisolet watakosa posho na wamekubaliana na hilo, nachojua unalipwa posho baada ya kusaini mahudhilio pindi uingiapo bungeni sio otherwise. Jiwe anatafuta kiki tu za.kishamba kwenye hilii.
Tuliwaasa Chadema
Wabunge wa Chadema wakichaguliwa na Watanzania wakawawakilishe bungeni
Ila Mbowe kwa ubabe wake bila kushirikiana na Spika amewakataza wabunge wa Chadema wasihudhurie vikao
Kwanza ieleweke Mbowe huwakata wabunge wake zaidi ya milion kwenye mshahara wa mbunge
Leo anawakataza wasichukue hata posho ?
Mbowe ajitathimini akae pembeni akili imefika kikomo
Comrade leo mmeshapima korona mafenesi mangapi?
Pesa na uhai kipi Bora,pesa zinatafutwa uhai unatafutwa?yy mbona kakimbia ofisi ,kwahiyo nae asilipwe mshahara basiTuliwaasa Chadema