Marry Ngowi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 262
- 294
nimeandika ukichat na mtu mjinga kama wewe akili yako inashuka kufikia level ya mjinga unaechat nae na pia nikaongezea kuwa ndege aina ya tai na ndege aina ya kipanga huruka umbali tofauti kwenda juu na pia nikakukumbusha kuwa ndege wasiofanana hawaruki pamoja!!Umeandika nini wewe boya
ALishamjibu PASKALI kwamba Mayalla ni NJAA na "MUAMALA" mmoja umejikita chini kuliko "MIAMALA" mingine.Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?
My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Duu kumbe Pashukuna balaanimeandika tai na kipanga huruka umbali tofauti kwenda juu na ndege wasiofanana hawaruki pamoja!! mijitu yenye akili kijiko kama wewe St Kayumba lazima uyatafunie kama makinda ya ndege!! kimbilia jukwaa la mapenzi!!
summary: nimeandika tusiwatukuze wazungu ni wazushi wabaguzi na wazandiki ukiishi nao unaona kumbe wao pia ni dhaifu kama wewe Mr Buli-Lia!! haya kwennndraaaa!
Uamiri Jeshi Mkuu unahusiana nini na Bunge?Yeye ndiye amri jeshi mkuu.
Wanataka wale hela za sisi tunaoweka maisha yetu reheni. Waendelee kujifungia ndani ila posho hakunaTena wamejifungia Ndani sisi wapiga kura tupo barabarani tunapambana
Ni lini waliwahi kulipwa posho bila ya kwenda Bungeni??Wanataka wale hela za sisi tunaoweka maisha yetu reheni. Waendelee kujifungia ndani ila posho hakuna
Wanataka wale hela za sisi tunaoweka maisha yetu reheni. Waendelee kujifungia ndani ila posho hakuna
Binge linatunga sheria za kodi,libapitisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka, na bunge hilo hilo linaweza kumhoji waziri wa fedha kuhusu ukusanyaji fedha.Bunge linakusanya kodi?
Kwani Bunge wanatoa wapi hela na nani anaidhinisha hela ziende Bungeni? Ili Bunge lipewe hela lazima litoe justification ya matumizi yake, sasa justification za waliojifungia ndani hawaendi kwenye vikao zitatoka wapi ili nao walipwe?Uamiri Jeshi Mkuu unahusiana nini na Bunge?
Muulize Katibu wa BungeNi lini waliwahi kulipwa posho bila ya kwenda Bungeni??
Unaweza kutueleza hapa ni Ibara ya ngapi ya katiba inayompa hizo nguvu?!Katiba inamruhusu. Hapo sio yeye wa kulaumiwa
Kwanza tumia akili ya kawaida tu kutafakari ni kwa jinsi gani Posho huwa zinalipwa. Hivi unaweza kulipwa posho bila ya kuwepo kwenye eneo litakalosababisha ulipwe posho? Tunaweza kuthibitisha pasipo shaka kwamba tangu wabunge wa CHADEMA waache kwenda bungeni kwamba walikuwa wanalipwa posho?Kwani Bunge wanatoa wapi hela na nani anaidhinisha hela ziende Bungeni? Ili Bunge lipewe hela lazima litoe justification ya matumizi yake, sasa justification za waliojifungia ndani hawaendi kwenye vikao zitatoka wapi ili nao walipwe?
Hii dhana yenu ni potofu kikatiba!!Binge wanapata wapi pesa zao za kuendesha shughuli za bunge??!!!
Kuna mtu anaitwa Katibu wa Bunge, huyu ni mteule wa Rais, ndio Mlipaji Hapo DODOMA. Kupokea maelekezo ya Mwajiri wake Sio hojaKitendo cha kutamka hadharani kwamba ametoa agizo hilo, huoni namna ambavyo amedhihirisha Utawala wake wa Mabavu?