Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

Yule aliyetumia mabilioni kununua ndege, bila utaratibu, unajua alikula ngapi?
 
Marehemu Ruge angekuwepo ningesema yuko behind the scene ku broke hii deal ya Royal Tour. Hii safari yenye documentary kuinyesha vivutio vya utalii ni nzuri sana na itachangia kuleta watalii na haswa ikionyeshwa National Geographic na platforms zingine.

Kwa asili yetu watanzania kila kitu huwa ni fursa ya watu kupata pesa za ziada at the expense ya walipa kodi. Nahisi huu mchongo umekuwa engineered na Mtu mmoja alikuwa mkaazi wa UK baadae akawa mshauri wa raisi wa visiwani huyu ni very creative kwenye deal za namna hii na lazma ana ganji yake ya nguvu. Naunga mkono tour hii na nasema Kazi iendelee lakini yale ya kigwangalah yasije yaka tripple.
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe

Hujui kitu Wewe. Uliza ufahamishwe. Kunywa maji ukalale ukue.
 
Watanzania wengi hamna Elimu ya utalii mmewaachia wageni wakifanya hiyo kazi ndio maana hamjui hata mapato yake...kwenye utalii serikali inaweza kurudisha hizo fedha siku chache sana mpaka sasa naamini Tanzania ina maeneo mengi ni vile hatujajitangaza na wanafunzi wapo busy kupelekwa kusoma ambazo haziwasaidii badala ya kusoma fani zetu zilizopo Nchini na lugha za kigeni kichina,kijerumani kwa ajili ya kupokea wageni kwa uraisi na kupunguza kodi magari ya watalii waache kutumia hayo machakavu na pia gharama za viwanja vya ndege kama KIA ili watalii wengi wasishukie Nairobi kwenye gharama nafuu...
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe
Rubbish kabisaa
 
Sasa wewe unataka kuchukua majukumu la CAG and PPRA. Unataka kujua procurement procedure si wako wahusika watafanya audit? Mbona muna haraka sana?
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe
Kila mtu amekuwa mjuaji mkubwa siku hizi na mwenye uwezo wa kuendesha nchi.
 
Hakuna lolote, tungemuweka Messi au Ronald kwa wiki moja tu watalii wangejaa mpaka kwenye nyumba za tembe Singida tena kwa gharama ndogo
Mimi nadhani tungemweka Shah Rukh Khan ndiyo angeleta watu wengi sana kutoka pande zote za dunia.
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe

Siazi hatuoni faida za hii tour ila watalii wakianza kumiminika hapo baadae sijui utakuja na uzi gan
 
Tangazeni utalii kwa GHARAMA ZOZOTE! Maisha yamekuwa magumu sana kwa watu wengi!
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe
Mkuu changamoto tuliyo nayo Ni kuwa tunaakili Kama imeegemeshewa kwenye kipago Cha mti, kwamba ikitikiswa tu tunadondoka,

Jaribu kuwaza watu m60, walio na maliasili zote, na ardhi kubwa Sana, Lkn mpka 2021 tunawaza kutangaza utalii?? Kwel tupo seriously?? Yaan toka 1961 mpka leo, awam zote hakuna aliejua kuwa utalii unakipato??

Anyway, hebu tuchulie tu bandali pekee yake, au tuseme mbuga za wanyama tu, tungekuwa na wat ambao si wanaojari matumbo yao, sa iv Wala tusingewaza hlo, yaan tusivyo na aibu tutakusanya tsh 10-9000 kwa watu ambao wanakipato kidg ila tunaacha pesa ambazo zipo tu, jaman hyo Ni akili kwel??

Leo kunamtu anasimama anasema anatangaza utalii, unamtizamaaa unajiuliza hiv tupo tz au nchi nyingne??

Bahati 1 tu ambayo viongoz wote wanayo Ni kuwa wanaongoza nchi ambayo haijazoea vulugu, yaan hata wakiamua kesho waseme tunakusanya 10000 kila mlango kila mwezi, watakusanya maana hakuna ambae anaweza kuthubutu kukataa.

Tunabunge butu, halina hata makali, pakunolea hakuna, mwisho wa siku nalo linaanza kulana lenyewe kwa lenyewe, hv kwel tumekosa mtu wakusema kuwa STOP...????????

Sasa mziki mnene Tena unakuja inakwenda kuzinduliwa usa, duh, yaan tumepigwa hapa na bado tunanyooshwa kule, Kisha tuna ambiwa mguu pandeee si nikuitika tu mguu sawa, nyuma geuka woteee, mbeleee tembeaaaa bila kujari kunashimoooo..

Tunahitaji Maombi Kama taifa, tukiendelea hvi itakuwa sawa na kutembea hatua 10 unarudi nyuma hatua 15 halafu unajipongeza..

Waswahili wanasema ukiona mziki unapigwa kwa jilan, unaweza kwenda kucheza au kusikilza ukiwa kwako, ukiwa yote huyawezi, nyamaza tu hata Kama unakereka.... Ili usiharibu sherehe ya watu...
 
Kupata watalii wa nje si lelemama , kuna ushindani mkubwa sana, lazima Tanzania ijitangaze- iwekee vivutio vyake hadharani, na hasa kama Rais anashiriki - lazima habari zitasambaa kwa haraka zaidi.
Kuna vitu vikifanyika vinaweza kuongeza idadi ya watalii tofauti na inavyofanyika sasa,naamini kutangaza vivutio vya wanyama pori pekee haitoshi kuitangaza nchi kimataifa kwa sababu wanyama wapo kila sehemu na kwenye tv tunawaona kupitia chanel za wildlife.

Hivyo ni wakati mwafaka wa kubadili mbinu tunayoitumia kujitangaza mfano mimi kwa upande wangu naaamini kua kenya imefanikiwa kujitangaza kimataifa kwa sehemu kubwa kupitia michezo ya riadha,kenya hua inapeleka washiriki wengi na kufanikiwa kuchukua baadhi ya medari,hivyo basi hata sisi tukiboresha sekta ya michezo kwa ufasaha zaidi ndo itakayo tuboost kutoka kulia lia kila siku eti tunapata watalii kidogo.
 
Hakuna cha tuwa wala loyo. Mama anafanya kampeni kimya kimya. Anatengeneza makundi ya kumuunga mkono 2025 maana ameshanusa hatari ya kupopolewa.
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe

Ngoja asimamishe uchumi wake kwanza.

Nchi imeshikiliwa na genge pendwa. Kupisha shari karidhia kuwa figure head.
 
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.

Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo mnapandisha bei ya bidhaa na pia kodi mkiongeza na tozo.

Huu ni wizi wa mchana kweupe
Sawa pro mwenda zake tunajua Bado mna hasira Kali sana.
Wacheni mama yetu atujengee Na kuziba maharibifu yaliyofanywa huko nyuma Na uonevu.
 
Back
Top Bottom