Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."
Naona Rais kapata muda wa kusikitika na kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa. Lakini kuna vijana watano wamepotea, hatumsikii akitoa tamko. Je, hasikitishwi na upotevu wa vijana?
Naona Rais kapata muda wa kusikitika na kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa. Lakini kuna vijana watano wamepotea, hatumsikii akitoa tamko. Je, hasikitishwi na upotevu wa vijana?