voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Unahamisha hoja.Umeandika risala ndefu sana na kudai kuwa kuna upande mmoja unachafua Serikali.
Nikuhakikishie kuwa Serikali ya Samia inajichafua yenyewe tena kupitia yeye Samia mwenyewe.
Tokea nizaliwe sijawahi kumuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwenye Serikali yake tena kupitia TV ya Taifa.Ni kituko cha karne[emoji116][emoji1782][emoji1782][emoji1782]View attachment 2090377Sisi hatuna haja ya kuichafua serikali haramu ya Samia kwa kuwa serikali haramu huwa zinajichafua zenyewe na ndiyo kinachotokea kwenye serikali fake ya Samia ambayo ilitokana na uchafuzi wa october 2020 ambayo akina ninyi huwa mnaita uchafuzi huo kuwa ni uchaguzi mkuu.
Kitendo cha Samia kuhamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa ni laana inamtafuna.
Issue tunaongelea upotevu wa vijana watano na sio uizi au ufisadi.
Jibu maswali kuntu niliyohoji,usinihamishe kwenye reli kwa porojo.
Tuongelee hoja ya mleta hoja tunayoicoment hapa.
Usiniletee uawahili uswahili.