Hii nchi kazi sana wakati mwingine kuwa kiongozi....kuna watu inaonekana wanawaza sana political mileage kuliko hata kitu chochote... issue ya hao vijana ni vyema hao wanaojiita watetezi au watu wa haki za binadamu wakachukue critical informations za wahusika na kama kuanza kuwatetea basi kuwe na uthibitisho ni watu wema..
Ni ngumu kumtetea tu ambaye hujui uhalisia wake just kwasababu tu watu wanapiga kelele huko na kule... kumbe mhusika ana mambo yake huko gizani na huko huko gizani amekutana na wenzie wamefanyana ya gizani..... Waandishi wa habari, watu wa haki za binadamu, viongozi wa vyama tumeni watu mpate proper information za wahusika kabla ya kuja public na kuanza kuwatetea....waende kwa ndugu wawaulize majina kamili wahusika, umri wao, kazi zao, tabia zao...marafiki zao nk....