pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Mkuu naungana nawe, tuna tabia ya kupayuka sana!Hivi kwa nini huwa mnalazimisha hoja zenu za kipuuzi ziwe za kipaumbele kitaifa.
Hao vijana watano bado mambo yao yana maswali mengi kuliko majibu.
Wametajwa kufanya biashara kariakoo.
Lakini hiyo biashara haitamkwi au kuwekwa hadharani.
Je hiyo biashara imetajwa rasmi pamoja na usajili wake?
Hawa woote ndugu zao wanaishia kusema walipigiwa simu na rafiki yao. Aliyewataarifu kuwa wamekamatwa.
Lakini kwa mujibu wa kamanda Muliro Jumanne Muliro.
Ndugu hao wameombwa kutoa namba husika woote wameshindwa kuitoa.
Saa ingine mtatuletea hoja za watu binafsi walioamua kwenda kufanya uhalifu mahali au kujiunga na makundi ya kigaidi halafu team majungu Tanzania [emoji1241] mnaanza kudandia hoja bila tafakuri.
Hao dada zao sijui ma shangazi wanadai waliopotea ni watoto.
Lakini wanajichanganya pale wanapomtambulisha mmoja wao kuwa mke wa waliopotea.
Kwa nchi zilizoendelea kijasusi,hao kina dada wangewekewa surveillance ya 24hrs,ikiwemo mawasiliano yao.
Hii issue ingeisha julikana mbivu na mbichi mapema tu.
Wako wapi ndugu zao wa kiume?
Kwa nini wawaachie wanawake jukumu kubwa kama hilo la kutafuta missing persons?
Wanahofia au wamesusia kujihusisha?
Kama wamesusia,je nini sababu ya wao kususia?
Tujadili bila mihemko yenye kuwa biased na upande mmoja kuichafua serikali tu.
Wakati jamii yetu nayo ikiwa chafu kwa matukio ya ajabu na ya kutisha kila uchao?
Kama unao usafiri kwa vipi mjikusanye kwenda beach party bila wenza wenu?
Ndugu Mmoja wa hao waliopotea alikaririwa akisema alimualika kusherehekea sikuu ya krismasi lakini aliomba udhuru hadi itakapofika tarehe 26/12/2021.
Ina maana walikuwa na mission yao ambayo ilikuwa ni muhimu.kuliko mambo ya mualiko wa krismasi.
Huwezi kataa mualiko kisa unaenda beach [emoji950]
Jambo ambalo ni utamaduni uliozoeleka zaidi kijamii ?
Hata mlivyomteka Benn Saanane na mlipompiga Lissu Marisasi mlisema hivi hivi. LAANAKUM.!Hivi kwa nini huwa mnalazimisha hoja zenu za kipuuzi ziwe za kipaumbele kitaifa.

Well said mkuuNi ngumu kumtetea tu ambaye hujui uhalisia wake just kwasababu tu watu wanapiga kelele huko na kule... kumbe mhusika ana mambo yake huko gizani na huko huko gizani amekutana na wenzie wamefanyana ya gizani..... Waandishi wa habari, watu wa haki za binadamu, viongozi wa vyama tumeni watu mpate proper information za wahusika kabla ya kuja public na kuanza kuwatetea....waende kwa ndugu wawaulize majina kamili wahusika, umri wao, kazi zao, tabia zao...marafiki zao nk....
Kwani dhalimu wenu bado yupo?Hata mlivyomteka Benn Saanane na mlipompiga Lissu Marisasi mlisema hivi hivi. LAANAKUM.!
Ebu post ile video pendwa nipate burudaniRais mataputapu[emoji1782][emoji1782][emoji1782]
shetani anaitumia sana hii.....Kila mwenye nacho huongezewa na asiye kuwa nacho hata kile kidogo alicho nacho atanyanganywa.
DA AISEE MKUU UMEONGEA POINT NZURI SANA NA NDIYO MAANA WENYE AKILI WALA HAWAHANGAIKI NA HUU UJINGA SASA MTU FROM NO WHERE ANAMTAKA RAIS WA NCHI ASIKITIKIE HAWA WATU AMBAO BADO TENA WAKO KWENYE UCHUNGUZI NA KITU KINGINE CHAKUJIULIZA KWELI JE NDUGU ZAO WAMEFUNGUA MAJALADA YA UCHUNGUZI POLISI? UKIONA NDUGU WANAGWAYA KUKUFUATILIA NA WANAPIGA KAMBI KWENYE MITANDAO TU UJUE KUNAJAMBO HALIKO SAWA KWA HAO WAHANGA HONGERA KWA ANDIKO ZURI SANAHivi kwa nini huwa mnalazimisha hoja zenu za kipuuzi ziwe za kipaumbele kitaifa.
Hao vijana watano bado mambo yao yana maswali mengi kuliko majibu.
Wametajwa kufanya biashara kariakoo.
Lakini hiyo biashara haitamkwi au kuwekwa hadharani.
Je hiyo biashara imetajwa rasmi pamoja na usajili wake?
Hawa woote ndugu zao wanaishia kusema walipigiwa simu na rafiki yao. Aliyewataarifu kuwa wamekamatwa.
Lakini kwa mujibu wa kamanda Muliro Jumanne Muliro.
Ndugu hao wameombwa kutoa namba husika woote wameshindwa kuitoa.
Saa ingine mtatuletea hoja za watu binafsi walioamua kwenda kufanya uhalifu mahali au kujiunga na makundi ya kigaidi halafu team majungu Tanzania [emoji1241] mnaanza kudandia hoja bila tafakuri.
Hao dada zao sijui ma shangazi wanadai waliopotea ni watoto.
Lakini wanajichanganya pale wanapomtambulisha mmoja wao kuwa mke wa waliopotea.
Kwa nchi zilizoendelea kijasusi,hao kina dada wangewekewa surveillance ya 24hrs,ikiwemo mawasiliano yao.
Hii issue ingeisha julikana mbivu na mbichi mapema tu.
Wako wapi ndugu zao wa kiume?
Kwa nini wawaachie wanawake jukumu kubwa kama hilo la kutafuta missing persons?
Wanahofia au wamesusia kujihusisha?
Kama wamesusia,je nini sababu ya wao kususia?
Tujadili bila mihemko yenye kuwa biased na upande mmoja kuichafua serikali tu.
Wakati jamii yetu nayo ikiwa chafu kwa matukio ya ajabu na ya kutisha kila uchao?
Kama unao usafiri kwa vipi mjikusanye kwenda beach party bila wenza wenu?
Ndugu Mmoja wa hao waliopotea alikaririwa akisema alimualika kusherehekea sikuu ya krismasi lakini aliomba udhuru hadi itakapofika tarehe 26/12/2021.
Ina maana walikuwa na mission yao ambayo ilikuwa ni muhimu.kuliko mambo ya mualiko wa krismasi.
Huwezi kataa mualiko kisa unaenda beach [emoji950]
Jambo ambalo ni utamaduni uliozoeleka zaidi kijamii ?
WEZI HAO PUMBAVU ABISA WAMEPATIKANA WACHE WABANWE VIZURIUsigeuze na kumlisha maneno Muliro.
Yeye alitolea mfano wakati akiwa RPC mikoa ya Mwanza na Shinyanga.
Ambako kulikuwa na matukio hayo.
Hakuna alipowahusisha hawa watano na machimbo.
Ila amesema ndugu wao wamashindwa kuitoa namba waliyodai kupigiwa na mmoja wao akidai wamekamatwa na polisi.
Hawa mishen town wa simu za wizi kariakoo.
Mbona hilo halitajwi?
Mnaishia kuupakazia ufanyabiashara kariakoo kama kichaka cha kufichia uhalifu.
Hivi kwa nini huwa mnalazimisha hoja zenu za kipuuzi ziwe za kipaumbele kitaifa.Kila ubaya utalipwa
Hivi kwa nini huwa mnalazimisha hoja zenu za kipuuzi ziwe za kipaumbele kitaifa.Rais mataputapu🤡🤡🤡
Kwani umeambiwa wamekufa! Unataka asikitike kuwa hajawaona Kariakoo? Taarifa ya polisi haijatoka na naamini hata ndugu zao hawajaweka misiba.Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."
View attachment 2090275
View attachment 2090276
Naona Rais kapata muda wa kusikitika na kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa. Lakini kuna vijana watano wamepotea,hatumsikii akitoa tamko. Je,hasikitishwi na upotevu wa vijana?
WANAINCHI ni "PANYA " mbele ya hao MBOGAMBOGA.....SIRIKALI ,Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."
View attachment 2090275
View attachment 2090276
Naona Rais kapata muda wa kusikitika na kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa. Lakini kuna vijana watano wamepotea,hatumsikii akitoa tamko. Je,hasikitishwi na upotevu wa vijana?
Well said samurai.Hii nchi kazi sana wakati mwingine kuwa kiongozi....kuna watu inaonekana wanawaza sana political mileage kuliko hata kitu chochote... issue ya hao vijana ni vyema hao wanaojiita watetezi au watu wa haki za binadamu wakachukue critical informations za wahusika na kama kuanza kuwatetea basi kuwe na uthibitisho ni watu wema..
Ni ngumu kumtetea tu ambaye hujui uhalisia wake just kwasababu tu watu wanapiga kelele huko na kule... kumbe mhusika ana mambo yake huko gizani na huko huko gizani amekutana na wenzie wamefanyana ya gizani..... Waandishi wa habari, watu wa haki za binadamu, viongozi wa vyama tumeni watu mpate proper information za wahusika kabla ya kuja public na kuanza kuwatetea....waende kwa ndugu wawaulize majina kamili wahusika, umri wao, kazi zao, tabia zao...marafiki zao nk....
She is the culprit, a great suspectRais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."
View attachment 2090275
View attachment 2090276
Naona Rais kapata muda wa kusikitika na kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa. Lakini kuna vijana watano wamepotea,hatumsikii akitoa tamko. Je,hasikitishwi na upotevu wa vijana?
Umeandika risala ndefu sana na kudai kuwa kuna upande mmoja unachafua Serikali.Hivi kwa nini huwa mnalazimisha hoja zenu za kipuuzi ziwe za kipaumbele kitaifa.
Hao vijana watano bado mambo yao yana maswali mengi kuliko majibu.
Wametajwa kufanya biashara kariakoo.
Lakini hiyo biashara haitamkwi au kuwekwa hadharani.
Je hiyo biashara imetajwa rasmi pamoja na usajili wake?
Hawa woote ndugu zao wanaishia kusema walipigiwa simu na rafiki yao. Aliyewataarifu kuwa wamekamatwa.
Lakini kwa mujibu wa kamanda Muliro Jumanne Muliro.
Ndugu hao wameombwa kutoa namba husika woote wameshindwa kuitoa.
Saa ingine mtatuletea hoja za watu binafsi walioamua kwenda kufanya uhalifu mahali au kujiunga na makundi ya kigaidi halafu team majungu Tanzaniamnaanza kudandia hoja bila tafakuri.
Hao dada zao sijui ma shangazi wanadai waliopotea ni watoto.
Lakini wanajichanganya pale wanapomtambulisha mmoja wao kuwa mke wa waliopotea.
Kwa nchi zilizoendelea kijasusi,hao kina dada wangewekewa surveillance ya 24hrs,ikiwemo mawasiliano yao.
Hii issue ingeisha julikana mbivu na mbichi mapema tu.
Wako wapi ndugu zao wa kiume?
Kwa nini wawaachie wanawake jukumu kubwa kama hilo la kutafuta missing persons?
Wanahofia au wamesusia kujihusisha?
Kama wamesusia,je nini sababu ya wao kususia?
Tujadili bila mihemko yenye kuwa biased na upande mmoja kuichafua serikali tu.
Wakati jamii yetu nayo ikiwa chafu kwa matukio ya ajabu na ya kutisha kila uchao?
Kama unao usafiri kwa vipi mjikusanye kwenda beach party bila wenza wenu?
Ndugu Mmoja wa hao waliopotea alikaririwa akisema alimualika kusherehekea sikuu ya krismasi lakini aliomba udhuru hadi itakapofika tarehe 26/12/2021.
Ina maana walikuwa na mission yao ambayo ilikuwa ni muhimu.kuliko mambo ya mualiko wa krismasi.
Huwezi kataa mualiko kisa unaenda beach
Jambo ambalo ni utamaduni uliozoeleka zaidi kijamii ?
Wewe ndio umelala usingizi wa pono nenda Millard Ayo ukasikilize maelezo ya familia tano, waliopoteza ndugu.Well said samurai.
Nchi hii hasa kizazi hiki cha wavivu kimekaa kike kike tu.
Kazi kupokea tukio na kuligeuza political agenda.
Media zetu nazo wamelala usingizi wa pono.
Wamewaachia makanjanja wa on-line media wakiripoti biased stories bila weledi wala kubalance.
Media na waandishi makini wangekwenda mbele zaidi kwa kufika hata Kariakoo tunakoambiwa hawa vijana walikuwa na biashara huko ili kujiridhisha na aina ya biashara zao kama kweli zipo.
Wangefanya mahojiano ya kina na wenyeji wa kariakoo na kupata bakground zao.
Wangezitembelea familia zao ili kupata taswira halisi.
Lakini tunaishia kuona kila mmoja akianza kuilaumu serikali bila kuwa na undani wa wahusika.
Hiyo ni Kazi ya polisi,amesikitishwa na kifo cha mke wa kiongozi mwenzake kwa.kuzingatia itifaki.Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."