Rais asikitishwa na kifo cha mke wa RC Shigella, kuhusu vijana waliopotea hasikitishwi?

Majinga Sana machadema,polisi wanachunguza wala hakuna taarifa ya kufariki kwao ila yasivyo na akili yanataka Rais aeleze kusikitika kwa lipi? Kifo au kupotea? Wapi waliposema wamekufa? Wapi polisi waliposema kwamba wameshindwa kuwapata?

Majitu ya chadema ni zero brain kabisa.
 
Rais Samia huwa hahangaiki na watu cha chini na huu ndo ukweli! Wewe angalia hata ziara zake anaenda maeneo yenye watu wa maisha ya juu! Mikoa iliyo nyuma hajakanyaga hata kdogo!
Tafuta wa chini wenzako mhangaike pamoja..

Bangi mbaya sana.
 
wacha pumba kwa hiyo atoe pole ilhali haijulikani hao vijana watano wako hai au la!
 
yaani mtu anataka anachowaza yeye na Rais awaze hicho hicho....Rais ana organs zake ambazo zinamfeed kila information..unapoona amelikalia jambo fulani kimya tambua tu bado muda wake, sio mahala pake, au kuna mahala linafanyiwa au limefanyiwa kazi kwa namna nyingine au wahusika hawastahili kupewa pole kulingana na tabia za wahusika....

Rais ni taasisi sio msela tu wa mitaani ambaye anaweza kuzuka tu jambo kwasababu kuna watu tu wanaliongelea...

Kama shida ni political milleage, ziende zikakusanywe data na usahidi wa kutosha juu wa wahusika kutendwa na vyombo vya dola then huo ushahidi uwekwe mitandaoni kila mtu ajionee apime uhalisia wake....kupayukapayuka tu kwasababu tuonekane tunajua sana au kuipaka Serikali matope hakuwezi kusaidia zaidi ya kuharibu image ya Taifa na kuleta mivurugano...

Wenye familia watoe taarifa Polisi, wawape muda polisi, wakiona kimya wapande ngazi kwa wakubwa kama RPC, IGP na Waziri...wakikosa msaada wapambane wamuone Rais..kote huko wakikosa msaada waanze kupaza sauti kupitia watu wa haki za binadamu, waandishi wa habari, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali, Balozi za nchi mbalimbali, na hata taasisi za umoja wa kimataifa nk.....
 
Wewe ni shewtani una roho mbaya
 
Uzi mwingine wa kimajungu. Suala la Shigela kufiwa na mke unalilinganisha na suala la wafanyabiashara kuunguliwa vibanda vyao?.

Watanzania tunapenda mno kulalamika tunapenda kuendekeza negative spirits tusahau kuwa huwa zinaumba mabaya ya mbeleni.
 
Hapa hatuna chief comforter .......yaani mtu mmoja kufiwa na mkewe ndio kaona Ila maelfu ya vijana kupoteza Mali na kutojua kesho watakulala nn na familia zao haoni..kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uzi mwingine wa kimajungu. Suala la Shigela kufiwa na mke unalilinganisha na suala la wafanyabiashara kuunguliwa vibanda vyao?.

Watanzania tunapenda mno kulalamika tunapenda kuendekeza negative spirits tusahau kuwa huwa zinaumba mabaya ya mbeleni.
unachangia uzi gani
 
Labda anajua kuwa upotevu huo ni handwork ya kina Kingai na genge lake
 
Rais wenu wa Mchongo anapelekeshwa kwa remote na wajanja waliomzidi maarifa ya kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani inawezekana anawasiliana na aijipi Sirro kujua nn kimetokea,na sidhani kama ni wakati mwafaka yeye kuingia direct wakati lipo mikononi mwa wasaidizi wake
 
Hata kama ni wezi, wapo wapiiii?

Sent from my N100 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…