Rais asikitishwa na kifo cha mke wa RC Shigella, kuhusu vijana waliopotea hasikitishwi?

Unahamisha hoja.

Issue tunaongelea upotevu wa vijana watano na sio uizi au ufisadi.

Jibu maswali kuntu niliyohoji,usinihamishe kwenye reli kwa porojo.

Tuongelee hoja ya mleta hoja tunayoicoment hapa.

Usiniletee uawahili uswahili.
 
Hao vijana wanaweza kuwa vibaka,au walienda kwenye starehe zao,wakafia huko,those young men,are no bodies in the society,RC is somebody in the country,so is family,wife.
 
Na wewe ni mnafiki tu! Ndo wale wale mlikuwa mnasema kila tukio anahusika Magufuli!
 
“Moja kati ya adhabu kubwa ya kukataa kushiriki au kujihusisha na Siasa pamoja na Uongozi ni kwamba Utaishia kutawaliwa au Kuongozwa na watu wenye uwezo Mdogo kuliko wewe”-Plato
View attachment 2091244
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…