Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ndio maana jamaa hawajarusha risasi tena unaambiwa wanajeshi wengi wamekimbilia Iraq Kuna kitu kitapangwa huko uhamishoni hao waasi hawatotawala kwa amani labda waombe back up kwa wazee wa kuwahisha watu kuiona pepo ( IDF na USA)Waasi wakishika serekali, nae Assad ataunda kundi lake la waasi kujaribu kupindua serekali itakayokuwa madarakani!
Kuimba ni kupokezana π
Kuna sababu kama tatu hivi moja anaye au aliye msaidia uasi wa kwanza amechoka yaani in short Russia kachoka Iran ana hofu na woga lakini majeshi yake yalishuka morali baada ya uasi wa kwanza inawezekana hakuwatimizia matakwa yaoMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Ni suala la muda tuBado CCM na wafuasi wake kukimbia madaraka
Nahisi ni ushindi kwa IsraelWapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Kwaio wanyukane kobaz kwakobazWasishambulie watu dini tofauti na wao., [emoji120] Mufti Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe
UjingaNdugu zangu wasuni na washia tuache kupigania
Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri
Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia π
Assad is done and dusted!
Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.
Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!
These people have no discernment, whatsoever.
Ukisaidiwa inabidi na ww upambane nguvu inakuwa kubwa ..haiwezekani wanajeshi wenu hawapigani halafu halafu unataka anayesaidia apigane kwa niaba yenuKuna sababu kama tatu hivi moja anaye au aliye msaidia uasi wa kwanza amechoka yaani in short Russia kachoka Iran ana hofu na woga lakini majeshi yake yalishuka morali baada ya uasi wa kwanza inawezekana hakuwatimizia matakwa yao
Russia anashughulishwa na Ukraine wakati Iran anashughulishwa na Israel hadi wamepoteza focus.Duh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.
Ingia gaza mkuu kule chap unawahishwa kupata bikra, utoke huko maporini bikra zitaisha ukakuta mabibi akina faizaNdugu zangu wasuni na washia tuache kupigania
Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri
Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia π
Kuna viongozi jeshini na serikalini walikula hela za watu,jeshi lilikua halipigani,linarudi tu nyuma,waasi wametangaza serikali itakua chini ya waziri mkuu wa assad mpaka watakapokabidhiwaMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Usiende mbali sana, mkuu. Anzia hapa kwetu. Hali ilikuwaje pale Kibiti enzi za Anko Joni? Msumbiji kwenye jimbo lake la kaskazini la Cabo Delgado?Haya makundi yanayokuwa yameorodheshwa kama ya kigaidi mbona yana nguvu sana!!
Ina maana majeshi ya nchi husika huwa yako wapi kiasi nchi kuanguka!!
Nilianza kushangaa wakati Taliban anachukua nchi ndani ya mda mfupi!
Ina maana majeshi unakuta na wenyewe wamechoka na tawala zao ama!
Sunni wengi kuliko dhehebu lolote, mfaransa akafanya kama alivyofanya kwingine, kuwapa minority mamlaka,akawapa allawites ambao ni offshoot ya shia mamlaka, akijua huko mbele mtapigana tuBut shia ni wengi Sanaa Syria
Asad alikuwa anawategemea sana Hezbola, Iran na Urusi
Iran na Hezbola wote wametobwa na Israel,
Urusi ndio hivyo ana fupa lake kule Ukraine,
Urusi kajaribu kurusha vikombora vyake kuwa zima waasi lakini wapi,.
Ila USA nyoko aisee, kamfungulia Urusi na Iran front nyingine ya vita alafu wote wametimua mbio mapema tu.
Urusi na Iran ni mavi matupu. Hivi walikuwa wanalinda nini sasa pale Syria?
Hivi Edogan ni pro Rusia na Iran au pro USA na Israel maana simweliwi. ππ
Mby zaidi Assad bado yupo hai na hajachoka umri wala utajiri! Hapo ni kufunika moto kwa majivu, patakuwa pakichangamka km huko Libya na SudanNdio maana jamaa hawajarusha risasi tena unaambiwa wanajeshi wengi wamekimbilia Iraq Kuna kitu kitapangwa huko uhamishoni hao waasi hawatotawala kwa amani labda waombe back up kwa wazee wa kuwahisha watu kuiona pepo ( IDF na USA)
Hata kuiita ya muda mfupi haitoshi. Inastahili kuitwa ya "ghafla sana".Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Halafu wanatumia Noah na VirikuuKiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Netanyahu ameonekana akichekia chooni namna Assad alivyong'olewa kama mhogo.Putin inabidi ampe fundisho huyu rais wa uturuki maana yeye ndo chanzo cha haya yote