Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ndio maana jamaa hawajarusha risasi tena unaambiwa wanajeshi wengi wamekimbilia Iraq Kuna kitu kitapangwa huko uhamishoni hao waasi hawatotawala kwa amani labda waombe back up kwa wazee wa kuwahisha watu kuiona pepo ( IDF na USA)Waasi wakishika serekali, nae Assad ataunda kundi lake la waasi kujaribu kupindua serekali itakayokuwa madarakani!
Kuimba ni kupokezana 😂