Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Waasi wakishika serekali, nae Assad ataunda kundi lake la waasi kujaribu kupindua serekali itakayokuwa madarakani!
Kuimba ni kupokezana 😂
Ndio maana jamaa hawajarusha risasi tena unaambiwa wanajeshi wengi wamekimbilia Iraq Kuna kitu kitapangwa huko uhamishoni hao waasi hawatotawala kwa amani labda waombe back up kwa wazee wa kuwahisha watu kuiona pepo ( IDF na USA)
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Kuna sababu kama tatu hivi moja anaye au aliye msaidia uasi wa kwanza amechoka yaani in short Russia kachoka Iran ana hofu na woga lakini majeshi yake yalishuka morali baada ya uasi wa kwanza inawezekana hakuwatimizia matakwa yao
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!

Kuna kitu nyuma ya hao waasi.. bila
Vifaru na ndege za kivita unachukua nchi ndan ya wiki mbili.. huu mpango ulisukwa ukasukika na sitashangaa kuwa huu mpango kuna wahusika kwenye inner circle ya Assad wamehusika.. yaan wao ndio walikuwa wanachora raman kwa waasi wapi pa kupita na kupiga.. ndio maaan unaona waasi wakichukua mji hawamalizi 24 hrs wanaliamsha wanasonga kitu ambacho kwenye vita si kawaida..

Pili upinzan walikuwa wanapata hafifu sana.. kama kipindi taliban wanaichukua afghanistan baada ta USA kuondoka serikali ya Afghanistan na jeshi lake hawakutoa upinzan uliotakiwa kabisa.. ndan ya wiki kadhaaa tu wakachukua nchi

Nachojiuliza what happen to Russia and iran.. maana hata kama Assad alikuwa anawasaliti ndan wanauza raman.. je msaada wa washirika wake Urusi na Iran mbona kama ulikuwa wakusuasua kama vile kuondoa lawama tu
 
Wapiganaji wa Kiislamu wameingia Damascus ambapo hawakumbana na kipingamizi chochote. Askari wote wa Serikali wameshatoroka zamani.
Rebels wanasema wamemtafuta Rais Assad kila pahali Damascus lakini hayupo.
Meanwhile,Mufti anawaambia rebels wasishambulie watu wa dini tofauti na wao.
Haya ni mapigano ya siku baada ya mapigano kuduaa kwa miaka minne.
Kama hapa Tanzania ambapo watu wote tumepoteana katikaatukio ya wiki mbili zilizopita.
Nahisi ni ushindi kwa Israel
 
Assad is done and dusted!

Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.

Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!

These people have no discernment, whatsoever.

Kuliko CCM na muungano wao wa mchongo ??
 
Kuna sababu kama tatu hivi moja anaye au aliye msaidia uasi wa kwanza amechoka yaani in short Russia kachoka Iran ana hofu na woga lakini majeshi yake yalishuka morali baada ya uasi wa kwanza inawezekana hakuwatimizia matakwa yao
Ukisaidiwa inabidi na ww upambane nguvu inakuwa kubwa ..haiwezekani wanajeshi wenu hawapigani halafu halafu unataka anayesaidia apigane kwa niaba yenu
 
Duh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.
Russia anashughulishwa na Ukraine wakati Iran anashughulishwa na Israel hadi wamepoteza focus.
 
Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania

Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri

Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋
Ingia gaza mkuu kule chap unawahishwa kupata bikra, utoke huko maporini bikra zitaisha ukakuta mabibi akina faiza
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Kuna viongozi jeshini na serikalini walikula hela za watu,jeshi lilikua halipigani,linarudi tu nyuma,waasi wametangaza serikali itakua chini ya waziri mkuu wa assad mpaka watakapokabidhiwa
 
Haya makundi yanayokuwa yameorodheshwa kama ya kigaidi mbona yana nguvu sana!!

Ina maana majeshi ya nchi husika huwa yako wapi kiasi nchi kuanguka!!

Nilianza kushangaa wakati Taliban anachukua nchi ndani ya mda mfupi!

Ina maana majeshi unakuta na wenyewe wamechoka na tawala zao ama!
Usiende mbali sana, mkuu. Anzia hapa kwetu. Hali ilikuwaje pale Kibiti enzi za Anko Joni? Msumbiji kwenye jimbo lake la kaskazini la Cabo Delgado?

Pia kuna DRC tunaisikia kila siku saa mbili ITV kwa Farhia Middle. Nenda pale Nigeria kwa vichaani wa akili Afrika.

Halafu hali ikoje kwenye nchi zingine za Afrika Magharibi na ukanda wa Sahara - Mali, Burkina Faso, Sudan, Somalia, nk.

Kuna wale jamaa kutoka Somalia waliwahi kuivamia kama nzige Gharisa Kenya na kuwaua wanachuo kibao. Kifupi, mifano ipo mingi mno.

Tatizo siyo uwepo wa jeshi kwenye nchi husika, bali unakuta haohao wanajeshi ndio sehemu ya zengwe lenyewe - wanakula mshahara maradufu (ule wenyewe na huu wa part-time).
 
But shia ni wengi Sanaa Syria
Sunni wengi kuliko dhehebu lolote, mfaransa akafanya kama alivyofanya kwingine, kuwapa minority mamlaka,akawapa allawites ambao ni offshoot ya shia mamlaka, akijua huko mbele mtapigana tu
 
Asad alikuwa anawategemea sana Hezbola, Iran na Urusi

Iran na Hezbola wote wametobwa na Israel,

Urusi ndio hivyo ana fupa lake kule Ukraine,
Urusi kajaribu kurusha vikombora vyake kuwa zima waasi lakini wapi,.

Ila USA nyoko aisee, kamfungulia Urusi na Iran front nyingine ya vita alafu wote wametimua mbio mapema tu.

Urusi na Iran ni mavi matupu. Hivi walikuwa wanalinda nini sasa pale Syria?

Hivi Edogan ni pro Rusia na Iran au pro USA na Israel maana simweliwi. 😂😂

Edogon haipend israel ila yeye kauli mbiu yake mtumikie shetan upate ujira wake..nso maana western anaenda nao kinafiki.. kwenye hili la syria aka side na US na Israel ingawa gaikuwa rasmi urafiki ambao ulikuwa hauko kwenyw makaratas.. Hizbo na wanamgambo wa iraq wakiletwa kwa msaada wa iran Israel anapiga.. huku Turkey anasaidia waasii.. yaan israel kasaidia kukata nguvu ya msaada wa wanamgambo .. Turkey akapiga mkwara urusi akija kulipua raia Dibli atalipua ndege zake..

Mwisho wa siku Asaad pamoja na kwenda Iran na Urusi kuwalilia wakubwa ngoma imekuwa ngumu
 
Ndio maana jamaa hawajarusha risasi tena unaambiwa wanajeshi wengi wamekimbilia Iraq Kuna kitu kitapangwa huko uhamishoni hao waasi hawatotawala kwa amani labda waombe back up kwa wazee wa kuwahisha watu kuiona pepo ( IDF na USA)
Mby zaidi Assad bado yupo hai na hajachoka umri wala utajiri! Hapo ni kufunika moto kwa majivu, patakuwa pakichangamka km huko Libya na Sudan
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Hata kuiita ya muda mfupi haitoshi. Inastahili kuitwa ya "ghafla sana".
Tanzania imetumia muda mrefu kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa kuliko muda walioutumia waasi wa syria kuanzisha mashambulizi mapya na kuipindua serikali.

Tanzania imetumia muda mrefu zaidi kumzungusha Mdude katika vituo mbalimbali vya Polisi ili kumhoji na kuchukua maelezo kuliko muda waliotumia waasi wa Syria kuanzisha mashambulizi mapya na kuipindua serikali.
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Halafu wanatumia Noah na Virikuu
 
Back
Top Bottom