milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Tanzania vipi!!! Kuna Cha kujifunza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni bongo sio syria.......jamhuri ya ma keyboard warriors....hao wanatoa msaada kama wananchi wenyewe wanaingia uwanjani sio wakiitwa tu kwenye maandamano wanajifungiaTunakoelekea Kuna uwezekano, wapinzani watasaidiwa na UK na USA, kuiondoa CC..... madarakani
Dunia ya sasa haina nafai kwa madikiteta wals Wasiojulikana ni swala la muda tu.Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.
People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.
It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says
BBC
Golani alipigana upande wa Al-Qaeda huko Iraq lakini baadae 2015 akajisafisha na kuanzisha HTS ndo maana Marekani bado wamwita gaidi kwasababu walimfunga kwenye jela zao huko Iraq kwa miaka 5.Nilishangaa kuona anahojiwa CNN .Nikajua hapa Assad Hana lake Tena.
Waliokuwa wanamsaidia wote wako vitani hivyo hakukuwa na jinsi. Hope patatulia isije kuwa LibyaMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
sio western tu yeyote yule hata akiwemo Urusi , China na wengine , kikubwa linda amani ya nchi yakoNdio malengo ya western inchi inapokuwa haina utulivu ni rahisi wao kuendelea kuiba mafuta na gas Syria sema nini mungu katunyima akili na maarifa Waarabu ma waafrika makusudi ili Wayahudi waitawale vizuri dunia
Lile bus la wabunge,ninasikia USA , alikukuwa anaju.... kinachoendeleaHii ni bongo sio syria.......jamhuri ya ma keyboard warriors....hao wanatoa msaada kama wananchi wenyewe wanaingia uwanjani sio wakiitwa tu kwenye maandamano wanajifungia
Kwani ni wananchi wale waliofanya lile tukio......halafu wamepona sema bus la mtu ndo limepata mushkeliLile bus la wabunge,ninasikia USA , alikukuwa anaju.... kinachoendelea
Wajeruhi watakuf.. liniKwani ni wananchi wale waliofanya lile tukio......halafu wamepona sema bus la mtu ndo limepata mushkeli
Watakuf......wewe kwanzaWajeruhi watakuf.. lini
Wale sio binadamu ni wat... wafe tu.Watakuf......wewe kwanza
Assad ameua Watu wengi sana ndank ya Syria.Kwa kosa lipi? Mbona unaongea pumba sana
Nenda kaue au unataka mzungu pia aje kukusaidiaWale sio binadamu ni wat... wafe tu.
Kila chenye Mwanzo kina mwisho,Russia walishamchoka hana jipya.Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.
People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.
It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says
BBC