Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Tunakoelekea Kuna uwezekano, wapinzani watasaidiwa na UK na USA, kuiondoa CC..... madarakani
Hii ni bongo sio syria.......jamhuri ya ma keyboard warriors....hao wanatoa msaada kama wananchi wenyewe wanaingia uwanjani sio wakiitwa tu kwenye maandamano wanajifungia
 
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!

Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.

It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.

People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.

It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says

BBC
Dunia ya sasa haina nafai kwa madikiteta wals Wasiojulikana ni swala la muda tu.
 
Nilishangaa kuona anahojiwa CNN .Nikajua hapa Assad Hana lake Tena.
Golani alipigana upande wa Al-Qaeda huko Iraq lakini baadae 2015 akajisafisha na kuanzisha HTS ndo maana Marekani bado wamwita gaidi kwasababu walimfunga kwenye jela zao huko Iraq kwa miaka 5.

Jina lake halisi ni Ahmed Al Sharaa.

Hilo na Golani ni jina la kazi.
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Waliokuwa wanamsaidia wote wako vitani hivyo hakukuwa na jinsi. Hope patatulia isije kuwa Libya
 
Ndio malengo ya western inchi inapokuwa haina utulivu ni rahisi wao kuendelea kuiba mafuta na gas Syria sema nini mungu katunyima akili na maarifa Waarabu ma waafrika makusudi ili Wayahudi waitawale vizuri dunia
sio western tu yeyote yule hata akiwemo Urusi , China na wengine , kikubwa linda amani ya nchi yako
 
Haina ukweli bado ni rumors tu

🚨 BREAKING: Confirmed reports that a Russian cargo plane has crashed in Syria, near Homs. Reportedly, Bashar Al-Assad was onboard, leaving Damascus and heading to Russia most likely.

This is yet to be confirmed but Bashar may be dead.
 
Hii ni bongo sio syria.......jamhuri ya ma keyboard warriors....hao wanatoa msaada kama wananchi wenyewe wanaingia uwanjani sio wakiitwa tu kwenye maandamano wanajifungia
Lile bus la wabunge,ninasikia USA , alikukuwa anaju.... kinachoendelea
 
Sasa kinachotakiwa ni serikali inayokuja iwe shirikishi kwa maana kwamba jamii ya watu wenye imani tofauti tofauti wawe na haki sawa tofauti na ilivyo katika mataifa mengi yenye idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislam.

Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!

Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.

It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.

People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.

It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says

BBC
Kila chenye Mwanzo kina mwisho,Russia walishamchoka hana jipya.

Mwisho zama za Kuuana kama huko Libya,Iraq nk zimeanza rasmi hapo Syria.
 
AMEENDA WAPI RAFIKI YAKE KIPENZI RUSSIA......AMEENDA WAPI RAFIKI YAKE KIPENZI IRAN....
 
Back
Top Bottom