Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Mambo kupokezana Iran ajiandae kula vyuma tokea Syria
Mkuu sio kirahisi hivyo, Iran ni nchi tajiri na ina nyuklia, hata Israel wanaiogopa, Syria haiwezi kuanzisha vita na Iran.
Syrians majority ni Sunni walioitaka nchi yao iliyoongozwa na Shia Assad ndo maana wanajeshi wa serikali hawakupigana na waasi.
 
Syria huenda ikawa kama Sudan, baada ya Omar Al Bashir kuondolewa madarakani, hadi leo ni mapigano, pia Libya au Iraq na mashaka sana huenda Syria itaelekea mkondo huo..!!

Mimi naona bora amepinduliwa sbb inakumbusha watawala wengi wa sasa duniani kuwa Uongozi bora ni kuwatumikia watu kwa kuwa tendea mema na kuwajali na sio kuwatumikisha watu kama watumwa..!! Kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha viongozi wanao watumikia watu na kuwajali watu wanao waongoza na viongozi wanao watumikisha watu kama watumwa.
Samia
 
Vita ya Shia na Sunni, now Sunni wamechukua nchi yao kama ni kweli.
 
Na ndipo walipokuwa wanaelekea.
Mornach iwe kwa wazungu tu.ila ilifanyika kwa waarabu na wengine SHIDA

Siyo kweli. Hakuna Monarch ya mtu mmoja. Monarch ni ufalme wa miaka na miaka. Hai akina Al Assad sio wafalme ni raia wa kawaida.
 
Katiba si inatungwa na watu?
Vp kama wananchi ndo waliamua iwe hivyo Assad fsmili itawale muda wote?kwanini magharb na ulaya wanaingilia?
Ndugu wewe ni mgeni wa monarch how about Saud Arabia
 
Hayo yote yanawezekana ukiwa puppert na western mkuu, huwa hawaangalii katiba ya nchi yako ukilinda maslahi yao, Hivi unaweza kuniambia kati ya Iran na Saudi Arabia nchi ipi ni katili sana kwa raia zake!?

Nadhani ni Iran.
 
Putin inabidi ampe fundisho huyu rais wa uturuki maana yeye ndo chanzo cha haya yote
Mnamuonea Erdogan bure, huu ni mchoro wa Israel kutaka kuvimaliza vikundi vya kigaidi vinavyoisumbua na vinavyofadhiliwa na Iran kwa kuitumia Syria kupitishia silaha kuwapelekea hivyo vikundi vya kigaidi.
 
Usikimbilie kupeleka lawama magharibi huu ndo udhaifu wenu,Asad alichokwa na raia wa Syria hakuna mmagharibi aliyemwaga damu hapo ktl mapinduzi haya Bali ni raia wa Syria kwa mustakabali wa taifa lao
Ndugu Bado upo nyuma Sana kwenye mambo ya Nyuma ya pazia.
Wa Syria wametumika na ndio wanao onekana barabarani ila nyuma Yao Kuna wataalamu mbali mbali wa vita wanao simamia show ambayo wewe unaletewa kwenye Camera ya Aljazira.
Kama ilivyokua Libya, Iraq, Serbia n.k yapo Magenge kama ya Wagner wa Russia Yana yotokea na kuchochewa na Magharibi Yana Fanya operation sambamba na vikundi vya waasi.
Ingekua ni Wananchi wa Syria peke yake ndio wanao pambana isingechukua ata wiki Moja kikundi icho kusambaratika bila Assad kuhitaji msaada wowote Toka nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom