Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio kirahisi hivyo, Iran ni nchi tajiri na ina nyuklia, hata Israel wanaiogopa, Syria haiwezi kuanzisha vita na Iran.Mambo kupokezana Iran ajiandae kula vyuma tokea Syria
SamiaSyria huenda ikawa kama Sudan, baada ya Omar Al Bashir kuondolewa madarakani, hadi leo ni mapigano, pia Libya au Iraq na mashaka sana huenda Syria itaelekea mkondo huo..!!
Mimi naona bora amepinduliwa sbb inakumbusha watawala wengi wa sasa duniani kuwa Uongozi bora ni kuwatumikia watu kwa kuwa tendea mema na kuwajali na sio kuwatumikisha watu kama watumwa..!! Kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha viongozi wanao watumikia watu na kuwajali watu wanao waongoza na viongozi wanao watumikisha watu kama watumwa.
Hapo wanamaanisha amdhehebu maana kuna shia na suni huko.Wasishambulie watu dini tofauti na wao., [emoji120] Mufti Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe
Na ndipo walipokuwa wanaelekea.
Mornach iwe kwa wazungu tu.ila ilifanyika kwa waarabu na wengine SHIDA
Wacha wee,mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Liwale.Mambo kupokezana Iran ajiandae kula vyuma tokea Syria
ASSAD kaanguswa na askari wake ndio mn kashindwa kusaidiwa. Lkn Waas naona wanapeperusha Bendera ya PELASTINE
Ndugu wewe ni mgeni wa monarch how about Saud ArabiaKatiba si inatungwa na watu?
Vp kama wananchi ndo waliamua iwe hivyo Assad fsmili itawale muda wote?kwanini magharb na ulaya wanaingilia?
Wangewaacha wasyria waamueSiyo kweli. Hakuna Monarch ya mtu mmoja. Monarch ni ufalme wa miaka na miaka. Hai akina Al Assad sio wafalme ni raia wa kawaida.
Saudi ni kibaraka wa marekani.Ndugu wewe ni mgeni wa monarch how about Saud Arabia
Ni lini ilitulia maana karibu muongo mmoja ni vita tuSyria haitakuja kutulia!
Hayo yote yanawezekana ukiwa puppert na western mkuu, huwa hawaangalii katiba ya nchi yako ukilinda maslahi yao, Hivi unaweza kuniambia kati ya Iran na Saudi Arabia nchi ipi ni katili sana kwa raia zake!?
Walimtegemea RussiaNi sahihi. Inaonekana walijipanga na inawezekana kuna uasi ndani ya jeshi la assard. Haiwezekani jeshi la serikali liwe dhaifu hivyo.
Wangewaacha wasyria waamue
Walimtegemea Russia
Mnamuonea Erdogan bure, huu ni mchoro wa Israel kutaka kuvimaliza vikundi vya kigaidi vinavyoisumbua na vinavyofadhiliwa na Iran kwa kuitumia Syria kupitishia silaha kuwapelekea hivyo vikundi vya kigaidi.Putin inabidi ampe fundisho huyu rais wa uturuki maana yeye ndo chanzo cha haya yote
Ndugu Bado upo nyuma Sana kwenye mambo ya Nyuma ya pazia.Usikimbilie kupeleka lawama magharibi huu ndo udhaifu wenu,Asad alichokwa na raia wa Syria hakuna mmagharibi aliyemwaga damu hapo ktl mapinduzi haya Bali ni raia wa Syria kwa mustakabali wa taifa lao