Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Kabisa maana kuanzia kufumua mitaala ya Elimu Hadi kufanya Mageuzi ya sekta ya Kilimo,mifugo na uvuvi.Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme Nerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Roral Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.
Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Mawazo ya mtu mwenye akili fupiMiradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme Nerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Roral Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.
Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Umewaza Vyema!Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme Nerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Roral Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.
Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Unajua flyover wew au unakariri! Bongo bado hatuna flyover bali ni daraja tu la juu. NB Hayo uliyoainisha kua kayafanya, ngoja waje wahusika wa miradi hiyo Sgang aka walinda legacy!!Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme Nerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Roral Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.
Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Fanya editing hapo umeingia mtaroniBwawa la umeme Nerere,
Kipindi hicho Nusu ya wa-TZ wapo Dubai na Qatar au sio mama anaona mbaliHapana. Rais ajaye kama atakuwa Mzalendo wa kweli atapata taabu sana kuikomboa Nchi kutoka katika mikono ya Waarabu.
Maana mpaka wakati huo, yawezekana Rasilimali zote muhimu za huku Bara zitakuwa zimeshikiliwa na Waarabu.
Lucas Mwashambwa wa kike katika ubora wako umesahau tu kuweka namba ya simuMiradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme Nerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Roral Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.
Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Duh!Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme Nerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Roral Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.
Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Jamani hawa walikuwa wote, kwanini mnasahau! Ni kama kaka mtu na dada, sasa kaka hayupo usukani kashika Dada aka Mama. Tumpeni maua yake kwa kuendeleza na kukamilisha kazi alizozianza akiwa na Magu. Kakiri mwenyewe kuwa anaendeleza kazi alizoziacha Magu. Kazi iendelee!Unajua flyover wew au unakariri! Bongo bado hatuna flyover bali ni daraja tu la juu. NB Hayo uliyoainisha kua kayafanya, ngoja waje wahusika wa miradi hiyo Sgang aka walinda legacy!!
Akili kubwa ndugu yangu. Fikiria Megawat 2000 mijini na vijijini, viwandani na mashuleni n.k. Fikiria Tanzania yenye bandari zenye ufanisi mara 10 zaidi ya leo. Aisee wanaolisukuma gurudumu la maendeleo haya tuwapigie makofi.Mawazo ya mtu mwenye akili fupi
Sikubali hoja yako. Ni hivi, kukopa si tatizo kama kama kile ukifanyacho kitaleta pesa. Miradi yote anayoifanya mama leo italeta pesa nyingi sana kesho. Hivyo hayo madeni yatakuwa yanalipika na watanzania kufurahia umeme, mazao mengi na ongezeko la ajira. Fungua macho na yaangalie anayofanya mama kwa macho matatu.Nadhani Raisi wa 2030 atasumbuliwa na masuala yafuatayo.
1. Ukosefu wa AJIRA.
2. Kuongezeka idadi ya MASIKINI.
3. Kupanda kwa GHARAMA za maisha mijini na vijijini.
4. Mzigo wa MADENI ya serikali ndani na nje ya nchi.