Rais atayekuja 2030, atakuwa na raha sana, Samia kasafisha njia

Rais atayekuja 2030, atakuwa na raha sana, Samia kasafisha njia

Lucas Mwashambwa wa kike katika ubora wako umesahau tu kuweka namba ya simu
Mi nadhani kaandika ukweli ambao wengi weru hatupendi sio tu kusikia bali pia tunatamani yasitokee hayo. lkn cha ajabu anaambulia kejeli badala ya kupinga andiko lake
 
Tulieni daaawa iwaingie,
Mnakuja kufundishwa kutunza misitu na nchi ambayo kwao ni jangwa tupu. CCM ni hatari sana
 
Sikubali hoja yako. Ni hivi, kukopa si tatizo kama kama kile ukifanyacho kitaleta pesa. Miradi yote anayoifanya mama leo italeta pesa nyingi sana kesho. Hivyo hayo madeni yatakuwa yanalipika na watanzania kufurahia umeme, mazao mengi na ongezeko la ajira. Fungua macho na yaangalie anayofanya mama kwa macho matatu.

..mikopo imeanza kuwa tatizo hata sasa hivi.

..kuna siku nilimsikia Ssh akisema kwamba wametumia mkopo mpya kulipa mkopo ulio-mature.

..wasiwasi wangu ni kwamba uchumi wetu haukui kwa kasi itakayowezesha kupunguza umasikini na ukosefu wa ajira.

..Kama umasikini na ukosefu wa ajira haupungui kwa kasi ya kutosha basi uwezo wetu wa kulipa madeni nao unakuwa wa hatihati.
 
Ulichomsikia SSH kuhusu mikopo ni kweli. Hata mimi binafsi huwa nafanya hivyo, na huo ndio uchumi. Mfano halisi: Miaka 7 iliyopita Mimi nilikopa NBC na kujenga nyumba ya biashara, riba kubwa kweli. Baada ya mjengo kukamilika na biashara motomoto, nikazungumza na NMB, nikakubaliana nao kunipa 3/4 ya mkopo wa NBC kwa riba nafuu sana. Nikachukua mkopo NMB na kulipa pesa yote 3/4 ya mkopo wa NBC. Kwa kufanya hivyo nikawa nasave pesa nyingi tu. Huu ndio uchumi. Nawe fanya hivyo ukipata nafasi.
Toa wasiwasi- Ukikopa kujenga bwawa la umeme, huwezi kuingiza pesa wakati unajenga. Utapomaliza ndio utatengeneza pesa. Umeme ni bidhaa adimu, soko lipo leo leo.
Ukosefu wa ajira- Miradi Yote inalengo la kuongeza ajira.
 
Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme- Nyerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Royal Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028.

Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka miradi mikubwa kama hii.
Huyo Rais atakusanya takriban 4 trilioni kila mwezi. Hata kuwa na kazi. Kweli hata mimi kapuku nitaweza kuwa Rais. Hongera mama!
Chawa kapuku kazini
 
yaani umeongea ujinga kama mwimba taarabu vile. angalia wasikuvishe dera bro. unaongea unafiki hadi wewe mwenyewe unajistukia.
 
Jamani hawa walikuwa wote, kwanini mnasahau! Ni kama kaka mtu na dada, sasa kaka hayupo usukani kashika Dada aka Mama. Tumpeni maua yake kwa kuendeleza na kukamilisha kazi alizozianza akiwa na Magu. Kakiri mwenyewe kuwa anaendeleza kazi alizoziacha Magu. Kazi iendelee!
Uncle kulwa jilala na wenzake watajibu hili!
 
Uchawa kazini,
Sasa toa na namba zako ili ulipwe.
JamiiForums-19212691.jpg
 
yaani umeongea ujinga kama mwimba taarabu vile. angalia wasikuvishe dera bro. unaongea unafiki hadi wewe mwenyewe unajistukia.
Yaani dhambi ya mama ni kuendeleza miradi aliyoianza Magufuli ambayo tuliikubali na kuisifia sana wakati Magu ni Rais. Leo miradi hiyo unaiita nyimbo za taarabu. Chapwa, Mmmm, Chapwa24, aisee Chapwa24 yaani mpaka uchapwe ndio uyaelewe haya kuwa ni kwa ajili ya maendeleo yako.
 
DP WORLD haukuwa mradi wa magufuli, ukisikiliza clip zake alipinga sana mtu kuwekeza kwenye bandari kwa condition ya kutojenga tena bandari ingine ila kwa ruhusa yao. kichwa chako kimejaa kamasi , jitahidi kufikiria basi walau.
 
Chapwa24 tufanye achana na DP World, endelea kuchangia hoja kwa miradi unayoijua wewe ambayo alianza Magufuli na mama anaendelea nayo. Tuanze hapoooo!
 
Every generation stands on the shoulders of the previous generations,the coming regime after 2030 Inshallah,indeed will enjoy the wonderful fruits of Dr Samia Suluhu Hassan,Arise and shine Dr Samia...In the voice of Mwamposa...!!
 
Chapwa24 tufanye achana na DP World, endelea kuchangia hoja kwa miradi unayoijua wewe ambayo alianza Magufuli na mama anaendelea nayo. Tuanze hapoooo!
dp world haitakiwi kuachwa kwasababu madhara yake ni makubwa kwa nchi yetu.
 
Nadhani Raisi wa 2030 atasumbuliwa na masuala yafuatayo.

1. Ukosefu wa AJIRA.

2. Kuongezeka idadi ya MASIKINI.

3. Kupanda kwa GHARAMA za maisha mijini na vijijini.

4. Mzigo wa MADENI ya serikali ndani na nje ya nchi.
Lakini unaionaje point yake ya kutokuwa na miradi mikubwa ya utekelezaji. Maana kiuhalisia, SGR, JNHP, Kigongo-Busisi, miradi ya elimu, maji na afya inakamua Sana pesa.
 
Lakini unaionaje point yake ya kutokuwa na miradi mikubwa ya utekelezaji. Maana kiuhalisia, SGR, JNHP, Kigongo-Busisi, miradi ya elimu, maji na afya inakamua Sana pesa.

..anayo hoja kwamba hakutakuwa na miradi mikubwa ya reli ya kati, na umeme.

..upo uwezekana wa kulazimika kufanya ukarabati mkubwa ktk reli ya Tazara.

..madaraja makubwa bado yatahitajika na ujenzi wa mabarabara bado utaendelea.

..uwekezaji kwenye elimu na afya lazima utakuwa mkubwa kwasababu kasi kubwa ya ongezeko la watu.

..changamoto nyingine itakuwa ni kulipa MADENI.
 
Back
Top Bottom