Rais atayekuja 2030, atakuwa na raha sana, Samia kasafisha njia

Lucas Mwashambwa wa kike katika ubora wako umesahau tu kuweka namba ya simu
Mi nadhani kaandika ukweli ambao wengi weru hatupendi sio tu kusikia bali pia tunatamani yasitokee hayo. lkn cha ajabu anaambulia kejeli badala ya kupinga andiko lake
 
Tulieni daaawa iwaingie,
Mnakuja kufundishwa kutunza misitu na nchi ambayo kwao ni jangwa tupu. CCM ni hatari sana
 
Tulieni daaawa iwaingie,
Mnakuja kufundishwa kutunza misitu na nchi ambayo kwao ni jangwa tupu. CCM ni hatari sana
Mkuu bila shaka unaongelea biashara ya hewa ukaa ebu tupe elimu kidogo japo njee ya mada
 
..mikopo imeanza kuwa tatizo hata sasa hivi.

..kuna siku nilimsikia Ssh akisema kwamba wametumia mkopo mpya kulipa mkopo ulio-mature.

..wasiwasi wangu ni kwamba uchumi wetu haukui kwa kasi itakayowezesha kupunguza umasikini na ukosefu wa ajira.

..Kama umasikini na ukosefu wa ajira haupungui kwa kasi ya kutosha basi uwezo wetu wa kulipa madeni nao unakuwa wa hatihati.
 
Ulichomsikia SSH kuhusu mikopo ni kweli. Hata mimi binafsi huwa nafanya hivyo, na huo ndio uchumi. Mfano halisi: Miaka 7 iliyopita Mimi nilikopa NBC na kujenga nyumba ya biashara, riba kubwa kweli. Baada ya mjengo kukamilika na biashara motomoto, nikazungumza na NMB, nikakubaliana nao kunipa 3/4 ya mkopo wa NBC kwa riba nafuu sana. Nikachukua mkopo NMB na kulipa pesa yote 3/4 ya mkopo wa NBC. Kwa kufanya hivyo nikawa nasave pesa nyingi tu. Huu ndio uchumi. Nawe fanya hivyo ukipata nafasi.
Toa wasiwasi- Ukikopa kujenga bwawa la umeme, huwezi kuingiza pesa wakati unajenga. Utapomaliza ndio utatengeneza pesa. Umeme ni bidhaa adimu, soko lipo leo leo.
Ukosefu wa ajira- Miradi Yote inalengo la kuongeza ajira.
 
Chawa kapuku kazini
 
yaani umeongea ujinga kama mwimba taarabu vile. angalia wasikuvishe dera bro. unaongea unafiki hadi wewe mwenyewe unajistukia.
 
Uncle kulwa jilala na wenzake watajibu hili!
 
yaani umeongea ujinga kama mwimba taarabu vile. angalia wasikuvishe dera bro. unaongea unafiki hadi wewe mwenyewe unajistukia.
Yaani dhambi ya mama ni kuendeleza miradi aliyoianza Magufuli ambayo tuliikubali na kuisifia sana wakati Magu ni Rais. Leo miradi hiyo unaiita nyimbo za taarabu. Chapwa, Mmmm, Chapwa24, aisee Chapwa24 yaani mpaka uchapwe ndio uyaelewe haya kuwa ni kwa ajili ya maendeleo yako.
 
DP WORLD haukuwa mradi wa magufuli, ukisikiliza clip zake alipinga sana mtu kuwekeza kwenye bandari kwa condition ya kutojenga tena bandari ingine ila kwa ruhusa yao. kichwa chako kimejaa kamasi , jitahidi kufikiria basi walau.
 
Chapwa24 tufanye achana na DP World, endelea kuchangia hoja kwa miradi unayoijua wewe ambayo alianza Magufuli na mama anaendelea nayo. Tuanze hapoooo!
 
Every generation stands on the shoulders of the previous generations,the coming regime after 2030 Inshallah,indeed will enjoy the wonderful fruits of Dr Samia Suluhu Hassan,Arise and shine Dr Samia...In the voice of Mwamposa...!!
 
Chapwa24 tufanye achana na DP World, endelea kuchangia hoja kwa miradi unayoijua wewe ambayo alianza Magufuli na mama anaendelea nayo. Tuanze hapoooo!
dp world haitakiwi kuachwa kwasababu madhara yake ni makubwa kwa nchi yetu.
 
Nadhani Raisi wa 2030 atasumbuliwa na masuala yafuatayo.

1. Ukosefu wa AJIRA.

2. Kuongezeka idadi ya MASIKINI.

3. Kupanda kwa GHARAMA za maisha mijini na vijijini.

4. Mzigo wa MADENI ya serikali ndani na nje ya nchi.
Lakini unaionaje point yake ya kutokuwa na miradi mikubwa ya utekelezaji. Maana kiuhalisia, SGR, JNHP, Kigongo-Busisi, miradi ya elimu, maji na afya inakamua Sana pesa.
 
Lakini unaionaje point yake ya kutokuwa na miradi mikubwa ya utekelezaji. Maana kiuhalisia, SGR, JNHP, Kigongo-Busisi, miradi ya elimu, maji na afya inakamua Sana pesa.

..anayo hoja kwamba hakutakuwa na miradi mikubwa ya reli ya kati, na umeme.

..upo uwezekana wa kulazimika kufanya ukarabati mkubwa ktk reli ya Tazara.

..madaraja makubwa bado yatahitajika na ujenzi wa mabarabara bado utaendelea.

..uwekezaji kwenye elimu na afya lazima utakuwa mkubwa kwasababu kasi kubwa ya ongezeko la watu.

..changamoto nyingine itakuwa ni kulipa MADENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…