Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

Watu mnajitekenya ninyi. Hawa walisimamishwa kupisha Uchunguzi. Walifunguliwa mashtaka lini? Tuhuma zao ilikuwa kusaini mkataba usio na maslahi kwa Taifa , wakisainia nje ya nchi. Mkataba umevunjwa sasa mumeibiwa nini? saini?
Hatua ya uchunguzi? Kwa hiyo kelele zote zile ilikuwa ni za nini? Amekuwa mtoto wa chekechea?
 
Hivi unaamini kwamba zile tuhuma zilikuwa genuine? Yaani kwenye utawala huu ambao rais anataka afanye hadi ufunguzi wa vitu vilivyo kwisha funguliwa awali ili tu apate 'ujiko'.

Yaani kwamba Lugola na Andengenye walisaini contract ya 1trl+ bila rais kujua?
Ndio maana nikasema Mh rais ana penda sana maneno ya kudanganywa. Namfahamu sana Andengenye tangu akiwa askari wa kawaida Namanga kipindi cha rushwa za bia za Kenya. Hakuwa na tabia ya rushwa alikuwa mpenda haki, akaja kuwa Rpc Moro na Arusha alikuwa mwadilifu sana Hata sungusungu tume zunguka nae akiwa Rpc na alikuwa hapendi mtu kuonewa. Aje kuwa IG wa Zima moto abadilike? Hili jambo liliniumiza sana na sikipenda kuamini.
Nafurahi sasa Mh rais ameuona ukweli.
 
Hivi unaamini kwamba zile tuhuma zilikuwa genuine? Yaani kwenye utawala huu ambao rais anataka afanye hadi ufunguzi wa vitu vilivyo kwisha funguliwa awali ili tu apate 'ujiko'.

Yaani kwamba Lugola na Andengenye walisaini contract ya 1trl+ bila rais kujua?
Na mjomba anapenda sana kuombwa ombwa msamaha,Nape alienda kuomba msamaha,Kinana nae,Boss wa zimamoto nae ameomba msamaha yaani daah.

Nape yeye alivyoenda kuomba msamaha akajibiwa Nape ameniomba msamaha na nimemsamehe lkn kusamehe kunauma.,hahah.
 
Ndio maana nikasema Mh rais ana penda sana maneno ya kudanganywa. Namfahamu sana Andengenye tangu akiwa askari wa kawaida Namanga kipindi cha rushwa za bia za Kenya. Hakuwa na tabia ya rushwa alikuwa mpenda haki, akaja kuwa Rpc Moro na Arusha alikuwa mwadilifu sana na alikuwa hapendi mtu kuonewa. Aje kuwa IG wa Zima moto abadilike? Hili jambo liliniumiza sana na sikipenda kuamini.
Nafurahi sasa Mh rais ameuona ukweli.
Wewe ndiyo Ande ?
 
System ilisuka njia ya kuondoa shame kwa mamlaka ya uteuzi wa kangi, kukata mauno kulikuwa kunaikera system na haikupenda kuendelea kupata aibu hiyo.

Mtu anayeongoza askari anaenda kumkatia mauno hadharani

Hivyo kangi akatafutiwa tu ka zengwe, akapangishwa kwenye jumba bovu, likamwangukia
 
Namfatilia Hotuba ya Mh Rais akiwa anauhutubia Asakri Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekili kuwasamehe wale viongozi wote walio shiriki kusaini mkataba ulio kuwa na viashria vya RUSHWA akiwemo Aliyekuwa Kamishina Generali ndugu Andengenye na wenzake wanne.

Sambamba na msahama huo ameaidi kumpangia kazi nyingine ndugu Andengenye.

Sambamba na msamaha huo hajaweka wazi kama na yule mzee wetu aliye kuwa mjeda na baadae akawa mbeba sime ya spika,na baadae waziri mzuri mkata mauno kama nae atamssmehe au la!?

Pia amewataka mkuu wilaya ya Dodoma na mkurugenzi wa Jiji la Dodoma wapunguze KUOKUTA sasa WAOE.

Over.
Serikali inayopambana na ufisadi.

ivi mfano mimi nikafanya ufisadi nikaomba msamaha atanielewa .?
 
Alikuwa anahutubia jeshi la magereza au jeshi la zima moto...?
 
Sishangai maana Leo amesema alipokuwa jeshini alikuwa ana blasti au kushtua kwa maana nyingine alikuwa anavuta bangi.
 
Watu mnajitekenya ninyi. Hawa walisimamishwa kupisha Uchunguzi. Walifunguliwa mashtaka lini? Tuhuma zao ilikuwa kusaini mkataba usio na maslahi kwa Taifa , wakisainia nje ya nchi. Mkataba umevunjwa sasa mumeibiwa nini? saini?
Nauliza nini maana ya kuomba msamaha mala 3
 
Kama Kangi alimuacha ulitegemea awaguse hao?!

Wale TAKUKURU nao waone aibu sasa, sio kuhangaika na Chadema tu.
 
Na mjomba anapenda sana kuombwa ombwa msamaha,Nape alienda kuomba msamaha,Kinana nae,Boss wa zimamoto nae ameomba msamaha yaani daah.

Nape yeye alivyoenda kuomba msamaha akajibiwa Nape ameniomba msamaha na nimemsamehe lkn kusamehe kunauma.,hahah.
"Kutangulia kwa jengo hili ambalo mmelijenga kwa juhudi zenu ni mfano mzuri na ninajua haya mawazo ya aliyekuwa Kamishna Jenerali Andengenye,mkamfikishie salamu kwamba nimemsamehe,na hata kwasababu ameshaniomba msamaha karibu mara tatu,ni unyenyekevu wa aina yake".JPM.

#UzinduziJengolazimamoto.
 
Back
Top Bottom