Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

Kwaiyo nchi hii wezi wanaomba msamaha kesi inaisha?....nazani huo msamaha uende mpaka walioko magereza wapangwe uwanjani waombe msamaha kwa pamoja waachiwe wakajumuike na familia zao....inatia hasira Sana kuona wezi wa mabilion wanasamehewa bila kurudisha alafu mwizi wa simu anachomwa Moto mtaani au kuhukumiwa miaka 2
Kumchoma mwizi moto ni kujichukulia sheria mkononi, CHADEMA acheni tabia hii mara moja, mliyoitendea familia ya Akwilina inatosha!
 
Hivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
mkataba ulivunjwa kwa makubaliano ya pande zote zinazohusika.
 
Ndugu yako ni miongoni mwa 3,000 na ushehe waliopewa msamaha Rais Magufuli, ebu kuwa mpole basi!
Kumbe Sio Mahakama Tena inayowatia watu hatiani au kuwafutia mashitaka bali ni rais? Majizi Yanajuana Na Kusameheana
 
Namfatilia Hotuba ya Mh Rais akiwa anauhutubia Asakri Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekili kuwasamehe wale viongozi wote walio shiriki kusaini mkataba ulio kuwa na viashria vya RUSHWA akiwemo Aliyekuwa Kamishina Generali ndugu Andengenye na wenzake wanne.

Sambamba na msahama huo ameaidi kumpangia kazi nyingine ndugu Andengenye.

Sambamba na msamaha huo hajaweka wazi kama na yule mzee wetu aliye kuwa mjeda na baadae akawa mbeba sime ya spika,na baadae waziri mzuri mkata mauno kama nae atamssmehe au la!?

Pia amewataka mkuu wilaya ya Dodoma na mkurugenzi wa Jiji la Dodoma wapunguze KUOKUTA sasa WAOE.

Over.
Mie nilisema tangu mwanzoni kwamba suala hili lilikuwa ni kukurupuka tu kwa Magufuli, hakuna kesi hapa. Kile kilichosainiwa hakikuwa Mkatama ilikuwa MOU ambayo haina nguvu kisheria. Baada ya MOU ndio ungefuata Mkataba. MOU inaweka mazingira ya kujadiliana tu kuelekea mkataba.

Hapa Magufuli kusema anawasamehe anakwepa aibu na kudhalilika kwamba hajui maana ya MOU
 
Andengenye huko aliko anafurahia tu
 
Attorney General AG / Mwanasheria Mkuu wa Serikali abebe mzigo wa kushitakiwa Serikali kwa kufanya makosa ya kuwatuhumu, kuwaharibia sifa mbele ya jamii n.k hawa maafisa.
Shida ni nini hapo, mbona haueleweki? WAKATI WA KUTUMBULIWA ILIKUWA HADHARANI, LEO KAWASAMEHE HADHARANI, ulitaka awasamehe kimya kimya au unataka nini?
 
Hivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
Kwa katiba yetu Rais Ana power mzee yuko juu ya sheria naona Rais anakwenda kutokana na katiba iliyopo

Ova
 

Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaj ndugu Andengenye na wenzake wanne.

Sambamba na msahama huo ameaidi kumpangia kazi nyingine ndugu Andengenye.

Sambamba na msamaha huo hajaweka wazi kama na yule mzee wetu aliyekuwa mjeda na baadae akawa mbeba sime ya Spika na baadae Waziri mzuri mkata mauno kama nae atamsamehe au la!?

Pia amewatakaMkuu Wilaya ya Dodoma na mkurugenzi wa Jiji la Dodoma wapunguze KUOKOTA sasa WAOE.

Pia soma > Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Over.
Kawasamehe kwani walishahukumiwa na mahakama? Sheria za nchi zinavunjwa jamani
 
Hivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
Katia hali halisi hakuna kesi tena. Msamaha kwa Andengenye na makamishna wote ni msamaha kwa Kangi. Kwa ufupi Lugola leo anakuja mwili wa Uno uno
 
Ni kama Mussa yule kiongozi wa waisraeli ... nabii yeye ...daktari yeye... mchungaji yeye...n.k
Musa yalimshinda mpaka akafanya UGATUZI wa madaraka baada ya kushauriwa na mkewe Yethro
 
Back
Top Bottom