Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

Inaonesha jamaa huwa anakurupuka kuchukua maamuzi yake, ni either aliwaonea, au sasa na yeye ameshatulizwa ki-namna.

Wanaonishangaza zaidi kwenye hili ni TAKUKURU, sijui wanapata wapi nguvu za kufanya kazi zao, wanatumika tu kuwaonea wasio wa CCM.
 
Magufuli anapenda sana kunyenyekewa kuliko kawaida.

Ukijinyrnyekeza kwake na 'ukatubu' anakusamehe dhambi zako zote.

Andengenye ni kachero wa tiss, hivyo atakua ameomba radhi sana kupitia kina Diwani, kina Mabeyo, kina Siro na wengine. Maombi yake yamemfikia mzee kwenye kiti chake cha kunesa nesa amesamehewa

Hii kitu ilikua staged from the beginning, unakumbuka mbwembwe za takukuru kila mara updates za uchunguzi, kukamilika uchunguzi na kupeleka jarada kwa dpp kwa makosa ya uhujumu uchumi halafu kimia kizito hadi leo.

Kuna walioshirikiana na Andengenye wote amesema amewasamehe na amewaacha pale pale zimamoto waendelee kula maisha. Anasema akiwaangalia tu anaona wana nyuso za kutubu na yeye kama msamehe na msikia toba hana sababu ya kutowasamehe.

Mzee anachopenda ni uwe tayari kukis his ass. Kina ruge bado wako jela kwa sababu ya ujeuri wao, hawataki kukis his ass.
 
Na ukitaka kujua kuwa mambo yalikuwa yamekwishazuiwa yasiendelee, raisi alipotoa order wachunguzwe ndani ya week chache, mkurugenzi wa TAKUKURU alisema uchunguzi umekamilika. Baada ya hapo hakuna kilichoendelea ni kama walitumia muda na resources zao kuchunguza halafu file wakaweka kwenye kabati la DPP. That means walikuwa washaambiwa waachane nayo.
Muda mwingine TAKUKURU wasilaumiwe maana ni kweli inaelekea hawana meno.
 
Najaribu ku-imagine kuwa wapo wafungwa kwa maelfu ambao wamefungwa kwenye magereza yetu kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hawa ambao Rais wetu alidai kuwa wamelitia Taifa hasara ya shilingi trillion moja, awape msamaha wa kirahisi hivyo?

Kasi aliyokuja nayo ndiyo aliyo nayo?
 
Lakini sio kweli kwamba hasara ilishaingizwa za hiyo mijihela.
Ile ilikua tu ni maandalizi ya hela kutumika kwa huo mradi. Kwa lugha nyepesi.
Labda km kwenye Ku vunja mkataba kuna pesa iliyoenda sawa japo inasemekana hakuna fidia iliyotolewa kwa kitendo hiki.
Nimesema haya maana mtoa mada nikisoma between the lines nikama vile unamnaanisha hasara ilishaingiwa pesa ilishalipwa.
 
Inaonesha jamaa huwa anakurupuka kuchukua maamuzi yake, ni either aliwaonea, au sasa na yeye ameshatulizwa ki-namna.

Wanaonishangaza zaidi kwenye hili ni TAKUKURU, sijui wanapata wapi nguvu za kufanya kazi zao, wanatumika tu kuwaonea wasio wa CCM.
Absolutely true

Jaribu kufikiria kwa mfano ile kesi ya aliyekuwa DC, Alexander Mnyeti, ambapo aliyekuwa mbunge wa Aru Meru ya Mashariki kutoa ushahidi wa video clip kwa TAKUKURU, namna huyo Mnyeti anavyowahonga hao madiwani wa Chadema, badala ya kufanyika uchunguzi huo, ndiyo kwanza huyo Mnyeti akapata "promotion" na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara!
 
Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.

Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.

Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.

Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!

Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?

Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?

Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.

Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.

Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?

Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Kuna watu bado wanaamini tuna president, na wanataka wamwongee mpaka uhai wake. Hili lilikuwa deal la ndani sema kuna mambomambo yalijitokeza! Yupo wapi yule mjeshi aliyekuwa Katibu mkuu mambo ya ndani? Yeye aliwaambia waziwazi kwamba hataki politic hizi za ajabu ajabu! Na msishangae Lugola mwenyewe akaula tena, kama sio leo hata kesho!
 
Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.

Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.

Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.

Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!

Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?

Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?

Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.

Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.

Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?

Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Mkataba uliloliingizia talifa letu hasara ya tril 1? Kwani mkataba ulikuwa umesainiwa? Na kuna pesa yoyote ilishalipwa?
 
Huyu mupe yure muruke... Usijaribu kusafiria nyota ya lameck.. Utajikuta unaota ya saa tisa[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Magufuli anapenda sana kunyenyekewa kuliko kawaida.

Ukijinyrnyekeza kwake na 'ukatubu' anakusamehe dhambi zako zote.

Andengenye ni kachero wa tiss, hivyo atakua ameomba radhi sana kupitia kina Diwani, kina Mabeyo, kina Siro na wengine. Maombi yake yamemfikia mzee kwenye kiti chake cha kunesa nesa amesamehewa

Hii kitu ilikua staged from the beginning, unakumbuka mbwembwe za takukuru kila mara updates za uchunguzi, kukamilika uchunguzi na kupeleka jarada kwa dpp kwa makosa ya uhujumu uchumi halafu kimia kizito hadi leo.

Kuna walioshirikiana na Andengenye wote amesema amewasamehe na amewaacha pale pale zimamoto waendelee kula maisha. Anasema akiwaangalia tu anaona wana nyuso za kutubu na yeye kama msamehe na msikia toba hana sababu ya kutowasamehe.

Mzee anachopenda ni uwe tayari kukis his ass. Kina ruge bado wako jela kwa sababu ya ujeuri wao, hawataki kukis his ass.
Pamoja na kupenda kunyenyekewa na kupenda kusifiwa na kuabudiwa, lakini ni lazima atambue kuwa yeye yupo kwenye nafasi ya utumishi wa Umma, hapaswi afanye "double standards" katika mambo yanayohusu sheria

Huwezi ukasema umemsamehe mtu ambaye ulidai hapo nyuma kuwa amelisababishia hasara Taifa la shilingi trillion moja, wakati unajua huko magerezani wamehukumiwa wafungwa wa kesi ndogo ndogo kama za wizi wa kuku!!
 
Nalandana nawe kwa kusema yafuatayo (1) Alimfuta Kazi kimakosa ule ulikuwa Mkataba mzuri japo kweli hakumjulisha Bwana wao na wala haukuidhinishwa na Bunge, lakini Rais ndio muasisi wa yote haya hupitisha Miradi mingi mwenyewe bila kupita wala kuidhinishwa na Bunge.

(2) Kumsamahe hakufuti jinai.
(3) Nadhani Ndoto yake ya kuwa IGP ilimsumbua sana JP hasa kwa Mteule wake ambae ni Simion N. Sirro na pengine huyu ndiye alinyooshewa vidole na Sirro " badala ya kufanya Kazi wengine kila siku wako bize wanatafuta uIGP tulieni zamu yenu ikifika mtapewa maana sitafia Madarakani "

(4) Thobias ni Mwanadiplomasia Mzuri kasomea Bachelor of Art in International Relation and Public Administration kutoka UDSM. Namshauri amteue kuwa Balozi

"JK could settle on Andengenye as next IGP - The Citizen " Andengenye tipped for next IGP
 
MOJA WAPO YA sifa moja kubwa ya utawala huu ambayo inabidi iandikwe kwenye vitabu ni PERSECUTION.
Sofa nyingine ni IMPUNITY. Yaani makosa hayaadhibiwi na yanawahamisha wengine kuyatenda
 
Kumsamehe ni sawa ila hili la kutaka kumpangia tena nafasi nyingine sijalifurahia hata kidogo.

Inaonekana sasa hii serikali ni ya kifamilia kwa maoni yangu mtu akiharibu hakuna haja ya kumpangia tena majukumu mengine ni kwamba katika watumishi wote hakuna ambaye ataweza vaa viatu vya huyo kamishina alietumbuliwa?

Hili suala la Mh. Rais kuwaahidi nafasi tena waziwazi linawapa jeuri hata watumishi wengine wakubwa kama wakiharibu watamlilia Mh. Rais na kwa kuwa washajua udhaifu wake basi atawasamehe na kisha kupewa nafasi nyingine..

Hii serikali inataka watumishi wachapakazi na sio wapigaji kama huyo kamishina alietumbuliwa..
 
Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.

Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.

Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.

Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!

Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?

Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?

Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.

Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.

Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?

Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Ninasikia walisoma pamoja shule ya msingi.
 
zingatia unapoombwa msamaha na mtu akatubu makosa yake inakupasa kumsamehe, sijaona alipokosea kama aliombwa msamaha na akasamehe kweli
 
Mbona kuna maelfu ya wafungwa wameomba msamaha na yeye hajawasamehe??

Asifanye "double standards" katika huo msamaha wa Rais..............
 
Back
Top Bottom