Najaribu ku-imagine kuwa wapo wafungwa kwa maelfu ambao wamefungwa kwenye magereza yetu kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hawa ambao Rais wetu alidai kuwa wamelitia Taifa hasara ya shilingi trillion moja, awape msamaha wa kirahisi hivyo??Usimpangie na hapangiwi.
Unataka atamke mara ngapi?
Najaribu ku-imagine kuwa wapo wafungwa kwa maelfu ambao wamefungwa kwenye magereza yetu kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hawa ambao Rais wetu alidai kuwa wamelitia Taifa hasara ya shilingi trillion moja, awape msamaha wa kirahisi hivyo?
Absolutely trueInaonesha jamaa huwa anakurupuka kuchukua maamuzi yake, ni either aliwaonea, au sasa na yeye ameshatulizwa ki-namna.
Wanaonishangaza zaidi kwenye hili ni TAKUKURU, sijui wanapata wapi nguvu za kufanya kazi zao, wanatumika tu kuwaonea wasio wa CCM.
Kuna watu bado wanaamini tuna president, na wanataka wamwongee mpaka uhai wake. Hili lilikuwa deal la ndani sema kuna mambomambo yalijitokeza! Yupo wapi yule mjeshi aliyekuwa Katibu mkuu mambo ya ndani? Yeye aliwaambia waziwazi kwamba hataki politic hizi za ajabu ajabu! Na msishangae Lugola mwenyewe akaula tena, kama sio leo hata kesho!Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.
Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.
Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.
Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!
Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?
Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?
Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.
Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.
Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?
Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Mkataba uliloliingizia talifa letu hasara ya tril 1? Kwani mkataba ulikuwa umesainiwa? Na kuna pesa yoyote ilishalipwa?Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.
Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.
Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.
Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!
Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?
Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?
Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.
Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.
Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?
Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Huyu mupe yure muruke... Usijaribu kusafiria nyota ya lameck.. Utajikuta unaota ya saa tisa[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.
Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.
Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.
Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!
Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?
Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?
Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.
Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.
Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?
Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Pamoja na kupenda kunyenyekewa na kupenda kusifiwa na kuabudiwa, lakini ni lazima atambue kuwa yeye yupo kwenye nafasi ya utumishi wa Umma, hapaswi afanye "double standards" katika mambo yanayohusu sheriaMagufuli anapenda sana kunyenyekewa kuliko kawaida.
Ukijinyrnyekeza kwake na 'ukatubu' anakusamehe dhambi zako zote.
Andengenye ni kachero wa tiss, hivyo atakua ameomba radhi sana kupitia kina Diwani, kina Mabeyo, kina Siro na wengine. Maombi yake yamemfikia mzee kwenye kiti chake cha kunesa nesa amesamehewa
Hii kitu ilikua staged from the beginning, unakumbuka mbwembwe za takukuru kila mara updates za uchunguzi, kukamilika uchunguzi na kupeleka jarada kwa dpp kwa makosa ya uhujumu uchumi halafu kimia kizito hadi leo.
Kuna walioshirikiana na Andengenye wote amesema amewasamehe na amewaacha pale pale zimamoto waendelee kula maisha. Anasema akiwaangalia tu anaona wana nyuso za kutubu na yeye kama msamehe na msikia toba hana sababu ya kutowasamehe.
Mzee anachopenda ni uwe tayari kukis his ass. Kina ruge bado wako jela kwa sababu ya ujeuri wao, hawataki kukis his ass.
Sofa nyingine ni IMPUNITY. Yaani makosa hayaadhibiwi na yanawahamisha wengine kuyatendaMOJA WAPO YA sifa moja kubwa ya utawala huu ambayo inabidi iandikwe kwenye vitabu ni PERSECUTION.
Ninasikia walisoma pamoja shule ya msingi.Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.
Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.
Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.
Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!
Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?
Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?
Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.
Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.
Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?
Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
zingatia unapoombwa msamaha na mtu akatubu makosa yake inakupasa kumsamehe, sijaona alipokosea kama aliombwa msamaha na akasamehe kweliTumemsikia wenyewe Rais Magufuli siku ya Jana kuwa amemsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa kikosi cha Zimamoto, Thobias Andengenye kwa madai kuwa amemuomba msamaha.
Tukumbuke kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Magufuli alimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Kamishna huyo, Thobias Andengenye kwa madai kuwa wameingia mkataba unaokadiriwa kuwa wa Eoro mikioni 408, sawasawa na shilingi za kitanzania trillion moja., kinyume cha taratibu kwa kuwa mkataba huo haujapitia Bungeni kama zinavyoagizwa na sheria za nchi yetu.
Baada ya kutumbuliwa huko kwa Waziri Kangi Lugola na Kamishna huyo Thobias Andengenye, tukaambiwa kuwa TAKUKURU wanawachunguza watu hao na ikithibitika kuwa waliingia mkataba huo kinyume cha taratibu, basi wataburuzwa mahakamani ili wakajibu mashitaka yao.
Hata hivyo imepita takribani miezi 5 hatujasikia taarifa yoyote ya uchunguzi huo wa TAKUKURU unavyoendelea na ndiyo hiyo Jana tememsikia Rais Magufuli akidai kuwa amemsamehe huyo Kamishna Thobias Andengenye!
Swali tunalojiuliza hivi Rais Magufuli ana uwezo wa kuwasamehe hao kina Kangi Lugola ambao yeye mwenyewe alidai waliingia mkataba ulioliingizia Taifa letu hasara ya shilingi trillion moja?
Je uchunguzi wa TAKUKURU hivi sasa unaendeshwa na Rais Magufuli, kwa kuwaelekeza hao TAKUKURU wa-STOP kuendelea na uchunguzi, pale anapojisikia kufanya hivyo?
Tunajua kuwa kwa tuhuma nzito hiyo ya kuingia mkataba uliolitia hasara Taifa hili la takribani shilingi trillion moja, ni wajibu wetu sisi wananchi kushinikiza kuwa kama kweli watu hao wamelitia hasara Taifa hili kiasi hicho kikubwa sana cha pesa, basi wawajibishwe wakajibu tuhuma hizo mahakamani na siyo kwa Rais wetu kutoa msamaha wa kienyeji.
Kwa kuwa pesa hiyo tuliyoambiwa na Rais wetu kuwa watu hao wamelitia hasara Taifa hili ni pesa za walipa kodi wa nchi hii na.wala siyo pesa za Rais Magufuli.
Tutambue kuwa wapo watanzania wengi ambao wapo magerezani kwa kesi ndogo ndogo za kuiba kuku, iweje kwa hao tulioambiwa na Rais wetu kuwa wamelitia hasara Taifa hili kiasi kikubwa hicho cha pesa zinazokadiriwa kuwa shilingi trillion moja wapewe msamaha kirahisi rahisi hivyo?
Naomba wasomaji wa JF, tudadavue kama ni sahihi kwa Rais wetu kutoa misamaha ya aina hiyo wakati vyombo vya uchunguzi vya ulivyoambiwa vya TAKUKURU vinavyoshughulikia tuhuma hizo kabla havijatoa taarifa yao ya namna uchunguzi wao ulipofikia tamati.
Mbona kuna maelfu ya wafungwa wameomba msamaha na yeye hajawasamehe??zingatia unapoombwa msamaha na mtu akatubu makosa yake inakupasa kumsamehe, sijaona alipokosea kama aliombwa msamaha na akasamehe kweli