Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump

Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Biden administration prepping $8 billion arms package for Israel, including heavy bombs

Deal, which still needs congressional approval, includes supply of air-to-air missiles, artillery shells, ammunition for attack helicopters and small diameter bombs

By Jacob Magid, Follow
Reuters and ToI Staff
4 Jan 2025, 12:41 pm

US President Joe Biden’s administration has informally notified Congress of a proposed $8 billion arms deal with Israel that includes munitions for fighter jets and attack helicopters alongside artillery shells, a source familiar with the matter told the Times of Israel Saturday.

The deal, which was first reported on by Axios Friday, must still be okayed by the US House and Senate foreign relations committees.

The source said that the deal could be partly supplied from current US stocks, but most would take a year or more to deliver. The deal will presumably be the last to be approved by the outgoing Biden administration.

The package — which needs to be okayed by the US House and Senate foreign relations committees — includes AIM-120C-8 AMRAAM air-to-air missiles for fighter jets to defend against airborne threats, including drones; 155mm artillery shells; Hellfire AGM-114 missiles for attack helicopters; small diameter bombs; JDAM tail kits that turn “dumb bombs” into precision munitions, 500-lb warheads and bomb fuzes, the source said.

In late spring, the US held up a shipment that included 500-lb bombs, but these were subsequently delivered. Prime Minister Benjamin Netanyahu complained about this policy in November, saying that such setbacks would soon end, an apparent reference to the incoming Trump administration.
 
Hilo taufa takatifu linahitaji msaada wa mabomu na makombora kutoka Marekani ndio liwe sawala? Sasa utakatifu unatoka wapi kama huyo alielifanya kua takatifu hawezi kulilinda yeye mwenyewe?

Mungu ameshindwa kuilinda yeye mwenyewe Israel yake hadi ilindwe na mabomu na makombora yanayoundwa na watu wasioamini Mungu, mashoga, wasagaji, walawiti nk kutoka Marekani?

Mungu si alisema aulindae mji afanya kazi bure kama nisipoulinda mimi mwenyewe ama ameshindwa israel wakaona bora watumie makombora na misaada kutoka Marekani kuliko kutegemea ahadi hewa kutoka kwa kitu hewa?
 
Mm nadhani hakuna jipya, kila aina ya silaha ameshapewa Izrael na ameshaitumia kwa maskini wasio na uwezo wowote wa kijeshi. Pengine labda hizo Nyuklia tu ndio bado hajatumia
 
Israel ni taifa omba omba kama sisi kumbe,!
 
Hilo taufa takatifu linahitaji msaada wa mabomu na makombora kutoka Marekani ndio liwe sawala? Sasa utakatifu unatoka wapi kama huyo alielifanya kua takatifu hawezi kulilinda yeye mwenyewe?

Mungu ameshindwa kuilinda yeye mwenyewe Israel yake hadi ilindwe na mabomu na makombora yanayoundwa na watu wasioamini Mungu, mashoga, wasagaji, walawiti nk kutoka Marekani?

Mungu si alisema aulindae mji afanya kazi bure kama nisipoulinda mimi mwenyewe ama ameshindwa israel wakaona bora watumie makombora na misaada kutoka Marekani kuliko kutegemea ahadi hewa kutoka kwa kitu hewa?
Situnadanganywa humu israel zana vita zote anatengeneza mwenyewe?!!
 
Wakati group la watu pale US wanafanya hayo wakiwa na agenda yao ( secretly) ...
Kuna Christian pale kimara anapongeza na kufurahi.....
Naenda kamchunguze huyu BIDEN dini yake...

Wakristo watakuja zinduka miaka 200 ijayo...vitukuu vyao kitakapokuwa na mahubiri ya kusoninoka ambavyo west , US + Israel walivyoharibu kizazi cha dini yao
 
Hilo taufa takatifu linahitaji msaada wa mabomu na makombora kutoka Marekani ndio liwe sawala? Sasa utakatifu unatoka wapi kama huyo alielifanya kua takatifu hawezi kulilinda yeye mwenyewe?

Mungu ameshindwa kuilinda yeye mwenyewe Israel yake hadi ilindwe na mabomu na makombora yanayoundwa na watu wasioamini Mungu, mashoga, wasagaji, walawiti nk kutoka Marekani?

Mungu si alisema aulindae mji afanya kazi bure kama nisipoulinda mimi mwenyewe ama ameshindwa israel wakaona bora watumie makombora na misaada kutoka Marekani kuliko kutegemea ahadi hewa kutoka kwa kitu hewa?
Si ndio Mungu anaitumia marekani kuilinda sheikh? Mungu anafanya kazi kwa kutumia viumbe vyake mkuu. Yeye ni mkuu sana hawez kuja live na ukahimili uwepo wake.
 
Huo sio msaada. Ni mauzo.
Screenshot_20250105-133714.jpg
 
Si ndio Mungu anaitumia marekani kuilinda sheikh? Mungu anafanya kazi kwa kutumia viumbe vyake mkuu. Yeye ni mkuu sana hawez kuja live na ukahimili uwepo wake.
Kwa hiyo Mungu mtakatifu anatumia taifa lisilo takatifu la wenye dhambi na mambo ya kishetani kulinda taifa lake takatifu, kwa maana kwamba Mungu mtakatifu anashirikiana na mawakala wa shetani ama shetani mwenyewe kutengeneza mabomu na makombora ili kuilinda taifa lake takatifu?

Yeye husema waulindao mji bila yeye wanafanya kazi bure, sasa hapa ameshindwa kulinda mwenyewe ama amewapa kibali Israel watumie taifa la Marekani kuilinda Israel yake.

Stori za dini ni kama stori za sungura na fisi, stori za alinacha kama zile eti Mungu alimtoa mwanae wa pekee afe ili kuukomboa ulimwengu, sasa ya nini amuue mtoto wake wa pekee badala ya kumuua shetani mwenyewe? Ama ni ngumu kumuua shetani moja kwa moja?
 
Sielewi ukweli kuhusu uimara wa Israel,nachojua ni us na Uingereza wamekaa pale kwa kujipa jina la ISRAEL, silaha zote zinatoka us uongo wote ni Israel ni jeshi bora zaidi duniani
 
Kwa hiyo Mungu mtakatifu anatumia taifa lisilo takatifu la wenye dhambi na mambo ya kishetani kulinda taifa lake takatifu, kwa maana kwamba Mungu mtakatifu anashirikiana na mawakala wa shetani ama shetani mwenyewe kutengeneza mabomu na makombora ili kuilinda taifa lake takatifu?

Yeye husema waulindao mji bila yeye wanafanya kazi bure, sasa hapa ameshindwa kulinda mwenyewe ama amewapa kibali Israel watumie taifa la Marekani kuilinda Israel yake.

Stori za dini ni kama stori za sungura na fisi, stori za alinacha kama zile eti Mungu alimtoa mwanae wa pekee afe ili kuukomboa ulimwengu, sasa ya nini amuue mtoto wake wa pekee badala ya kumuua shetani mwenyewe? Ama ni ngumu kumuua shetani moja kwa moja?
Hakuna taifa safi ila kuna makusudi ya Mungu. Na njia za Mungu hazichunguziki. Hekima yake iko zaid ya ufahamu wako. Ndio maana unaweza kukuta mtu ni mbaya lakin kuna siku akawafaa pamoja na kuwa mnajua ni mbaya. So jitahd ujifunze usiwekee ujuaji kwenye kutaka kujua. Maana mambo ya Mungu hutafundishwa na mwanadamu. Ni special ufahamu unaupata.
 
Kwa hiyo Mungu mtakatifu anatumia taifa lisilo takatifu la wenye dhambi na mambo ya kishetani kulinda taifa lake takatifu, kwa maana kwamba Mungu mtakatifu anashirikiana na mawakala wa shetani ama shetani mwenyewe kutengeneza mabomu na makombora ili kuilinda taifa lake takatifu?

Yeye husema waulindao mji bila yeye wanafanya kazi bure, sasa hapa ameshindwa kulinda mwenyewe ama amewapa kibali Israel watumie taifa la Marekani kuilinda Israel yake.

Stori za dini ni kama stori za sungura na fisi, stori za alinacha kama zile eti Mungu alimtoa mwanae wa pekee afe ili kuukomboa ulimwengu, sasa ya nini amuue mtoto wake wa pekee badala ya kumuua shetani mwenyewe? Ama ni ngumu kumuua shetani moja kwa moja?
Ulitaka Mungu aitumie 🇮🇷Iran?
 
Back
Top Bottom