Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

Hakuna taifa safi ila kuna makusudi ya Mungu. Na njia za Mungu hazichunguziki. Hekima yake iko zaid ya ufahamu wako. Ndio maana unaweza kukuta mtu ni mbaya lakin kuna siku akawafaa pamoja na kuwa mnajua ni mbaya. So jitahd ujifunze usiwekee ujuaji kwenye kutaka kujua. Maana mambo ya Mungu hutafundishwa na mwanadamu. Ni special ufahamu unaupata.
Ni kwa sababu ni hadithi za uongo sasa zinajiwekea defense kwamba hazichunguziki, zisihojiwe ili watu waendelee kua wajinga waziamini.

Hayo mambo ambayo hayaruhuswi na mwanadamu, wewe ulifundishwa na nani boss? Na Mungu mwenyewe? Mlikua wapi wakati anakufundisha?
 
Next target ni ayatullah wa Iran. Mfadhili wa magaidi duniani
 
Ni kwa sababu ni hadithi za uongo sasa zinajiwekea defense kwamba hazichunguziki, zisihojiwe ili watu waendelee kua wajinga waziamini.

Hayo mambo ambayo hayaruhuswi na mwanadamu, wewe ulifundishwa na nani boss? Na Mungu mwenyewe? Mlikua wapi wakati anakufundisha?
Ni kama vile watu wanatofautiana kujua. Kila mtu ana ufahamu wake. Ni suala la nature sio kufundishwa. Hiv unavyomuona Ellon musk anavyovumbua vitu we unaamin wakat anasoma alikuwa peke yake chief. Mambo ya Mungu hufundishwi na mtu unajikuta unajua tu hichi ni sahihi hichi sicho then. Ni kama vile unavyokuwa na wanao. Kuna mwenye akili zaid ya wenzie na kuna mwenye akili za wastani na kuna asiye na hizo akili kabisa. Mwenye akili anapewa maana ameonekana na natural anaweza kumsaidia asie nae. So mambo ya mungu usiishie kufundishwa toka nje ya dini ysko utajua natural inavyofanya kazi
 
Mm nadhani hakuna jipya, kila aina ya silaha ameshapewa Izrael na ameshaitumia kwa maskini wasio na uwezo wowote wa kijeshi. Pengine labda hizo Nyuklia tu ndio bado hajatumia
Unaripoti ukiwa pande zipi za Kizayuni mkuu?
 
Back
Top Bottom