DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Do you think democracy is a single favor coca cola in all part of the world can taste the same?Hakuongezewa muda, aligombea ndani ya chama chake cha Democrat akashinda kwa muhula wa tatu na wa nne baada ya kuwashinda wagombea wa Republicans kitaifa pia katika mihula yote ya 3 na 4.
... alikuwa anashindana na kivuli! Makomunisti wana vituko sana.Alishinda Urais alikuwa anashindana na nani?
Do you think democracy is a single favor coca cola in all part of the world can taste the same?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote hivo china wantekeleza kwa namna yao ya kipekeeDemokrasia ina misingi yake ambayo lazima ionekane popote inapodaiwa kutekelezwa, baadhi ya misingi hiyo ni
1.Uchaguzi huru na wa haki wa wananchi wote watu wazima.
2.Uhuru wa habari na vyombo vya habari.
3.Mihimili mitatu yenye kuchekiana "checks and balances"
4.Uhuru wa kukusanyika
5.Uhuru wa kuabudu
Siku 60 zilizopita ndo zilitakiwa zimalize mchezo, kushindwa maliza mchezo hapo maana yake marathon... sasa ndio shughuli ya kikubwa imeanza. Kwa mfanano wa mpambano wa heavyweight, siku 60 zilizopita ilikuwa mipambano ya utangulizi. Mabondia wa ukweli wako vyumbani wanajiandaa; muda wowote watapanda ulingoni.
Lione kubwa jingaKijana nakuomba usije ukaiweka china level moja na urus,marekani na nchi yoyote ile hapa duniania katika eneo la uongozi china ipo kwenye system ya pekee hapa duniani hakuna nchi yenye kuifanya hivo. CHINA KAWAACHA MBALI WENZAKE TENA SANA TU KWENYE UONGOZI WA NCHI.
NOTE: KWA SYSTEM YA UONGOZI WA CHINA MARAIS WENGI WA MAREKANI WASINGE CHAGULIWA KWA SABABU HAWAJUI NINI MAANA YA UONGOZI.Mfano Biden,Trump
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupigana kupo kwa aina nyingiManeno mengi
Waende Ukraine wakapigane tuone show.
... inategemea "bora" kwa context yako unamaanisha nini.CHINA ni BORA kuliko US kwenye angle ya uongozi
Bado cjakuelewa anajutaje kwa mfanoUrusi anajuta ni kwa nini alianzisha hii vita kwa kukurupuka. Marekani anatumia hii nafasi vizuri
Kweli mkuu . Putin anajuta .Nadhani na yeye anapata hasara kidogo mkuuUrusi anajuta ni kwa nini alianzisha hii vita kwa kukurupuka. Marekani anatumia hii nafasi vizuri
Hivi hawa wanafahamu ni kwa namna gani mpaka mtu anakuwa kiongozi katika nchi ya china na mpima kwa vigezo gani na anachunguzwaje na kuwa kiongozi?. Hivi hawa wanafahamu kuhusu political buro ya uchina wanaochaguliwa kwa vigezo vipi?.Hivi hawa wanafahamu kuwa Xi Jinping kabla ya kuwa raisi wa China amekuwa katika ngazi mbalimbali za uongozi kwa miaka takribani 40 ndipo kuwa Rais wa China.wanadhani china ukiwa na influence yoyote tu Kama Donarld Trump au Kanye West unakuwa Rais wa china hayo waya ache marekani Ila sio china.CHINA ni BORA kuliko US kwenye angle ya uongozi
Hivi hawa wanafahamu ni kwa namna gani mpaka mtu anakuwa kiongozi katika nchi ya china na mpima kwa vigezo gani na anachunguzwaje na kuwa kiongozi?. Hivi hawa wanafahamu kuhusu political buro ya uchina wanaochaguliwa kwa vigezo vipi?.Hivi hawa wanafahamu kuwa Xi Jinping kabla ya kuwa raisi wa China amekuwa katika ngazi mbalimbali za uongozi kwa miaka takribani 40 ndipo kuwa Rais wa China.wanadhani china ukiwa na influence yoyote tu Kama Donarld Trump au Kanye West unakuwa Rais wa china hayo waya ache marekani Ila sio china.
HEBU WAWASOME HAWA WATU KWANZA NDIPO WAJE KUIZUNGUMZIA CHINAView attachment 2204710
Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi Kama ya mchekeshaji kujiunga NATO au sio au maamuzi Kama ya Trump kuwawekea sanction s wachina kwenye biashara kupelekea baadhi ya wafanya biashara wa kimarekani kuathirika au sio? Na Biden kuondoa hizo sanctionsHiyo ndio gharama ya demokrasia, hata mwendawazimu kama Trump anaweza kuchaguliwa ikiwa wengi wanamkubali. Lakini bado demokrasia ndio mfumo mzuri kuliko mfumo mwingine wowote wa kupata viongozi hasa ukiwa na taasisi imara ambazo hazitegemei maamuzi ya mtu mmoja.
All in all demokrasia ni nzuri ikitumika katika usahihi Ila ni mbaya isipotumika katika usahihi ni Kama ujamaa tuu una faida na hasara zake usipo tumika katika usahihiMaamuzi Kama ya mchekeshaji kujiunga NATO au sio au maamuzi Kama ya Trump kuwawekea sanction s wachina kwenye biashara kupelekea baadhi ya wafanya biashara wa kimarekani kuathirika au sio? Na Biden kuondoa hizo sanctions
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hili la Xi ni Rais wa china Hadi kifo nalo hulijui?!We jamaa unaongea ujinga Nan kauambia xi Jinping ni Rais wa maisha acha kuandika uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuwaamini waMagharibi, wana propaganda sana.
Hakuna io kitu Ila Xi Jinping anategemea kuongezewa Third term(muhula wa tatu) Mwaka huu baada ya kutawala kwa awamu mbili maana Mwaka huu china Wana Two political session ,na sio kutawala mpaka kifo swali je akifikia katika hali ya umri mrefu na udhoofu wa hali ya mwili Kama Biden unafikiri atakuwa na uwezo wa kutawala? jibu ni hapana china hawawezi fanya upumbavu huoHata hili la Xi ni Rais wa china Hadi kifo nalo hulijui?!
Maamuzi Kama ya mchekeshaji kujiunga NATO au sio au maamuzi Kama ya Trump kuwawekea sanction s wachina kwenye biashara kupelekea baadhi ya wafanya biashara wa kimarekani kuathirika au sio? Na Biden kuondoa hizo sanctions
Sent using Jamii Forums mobile app