Rais Biden ashauriwa kutogombea uraisi wa Marekani, sababu analiaibisha na kulivua nguo taifa lake

Trump ana ujinga mwingi ambao ni afadhali mara elfu kutetema kwa huyo babu.
Tatizo babu yako hata kumbukumbu zinapotea, Asije kuamrisha makombora ya Nyuklia yarushwe Afrika akidhani ni Urusi, πŸ˜‚
 
Tatizo babu yako hata kumbukumbu zinapotea, Asije kuamrisha makombora ya Nyuklia yarushwe Afrika akidhani ni Urusi, πŸ˜‚
Hiyo sio rahisi kutokea lazima watakua na protocol zao kabla ya kufyetua hayo makombora.

Wazungu sio kama sisi huku wa kuteua na kutengua kila siku au kujenga na kubomoa kila mwaka.
 
Damu ya ndugu zetu wapalestina na waislamu wote duniani inamtesa huyu kaafir, na badoo
 
trump msenge 🀣🀣🀣
 
Biden umri n tatzo...
..Mutuulize babu yako mwenye miaka 81 kama unaweza kufanya vikao 10 kwa siku.
Labda ni afya imekua mbaya upande wake maana Trump anaonekana yupo fiti japo umri karibu wapo sawa!
 
Kumbe unamshauri Biden?....poa akipitia JF baadae ataona ujumbe wako
 
Kivipi, kwani Trump anatetema anapotembea na kupoteza kumbukumbu?
Trump yuko vizuri kwa kila kitu. Kuanzia kiafya, nguvu ya mwili, misimamo na maamuzi yenye tija kwa taifa lake. Trump amepishana miaka midogo tu na Biden, lakin ukiwaweka pamoj unaweza kufikiri kuwa Biden ni mzazi wa Trump kwa jinsi Biden alivyojichokea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo babu yako hata kumbukumbu zinapotea, Asije kuamrisha makombora ya Nyuklia yarushwe Afrika akidhani ni Urusi, πŸ˜‚
Imagine mtu yupo kwenye mkutano wa Summit huko Italy, yeye amesahau akafikiri yuko mdahaloni na Trump.

Anaambiwa ahutubie anasema anasubiri kwanza Trump aingie ukumbini ndo ataongea. Baadae akakumbushwa kuwa yupo katika Summit πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anatembea kama robot, ila kama anampango wa kugombea hata maliza muhula.
Ataishia tu njiani alaf madaraka achukue yule mwanamk. Kama hawataki hilo litokee ni bora wamshauri mapema akae pemben kupisha wenye afya zao.
 
Huko uchumi ni imara siyo nchi zetu,
Gari hata likiwa imara vp kama dereva ni mbovu kuna asilimia kubwa ya dereva huyo kulitumbukiza gari hilo mtoni na kuuwa abiria wengi waliopo ndan ya gari.

So kama gari ni imara ni vizuri na dereva nae akawa imara, mwenye akili na afya timamu.
 
Kumbe unamshauri Biden?....poa akipitia JF baadae ataona ujumbe wako
FBI na CIA huwa wanapita sana ktk mitandao ya kijamii duniani ili kujua kama kuna hatari yoyote inayopangwa mitandaoni dhidi ya taifa lao na masilahi yao.

So hao hao watamfikishia tu babu ujumbe. Japo itabidi wamkumbushe kumbushe kila wakati kutokana na tatizo la kusahau sahau.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…