Rais Biden ashauriwa kutogombea uraisi wa Marekani, sababu analiaibisha na kulivua nguo taifa lake

Tatizo babu yako hata kumbukumbu zinapotea, Asije kuamrisha makombora ya Nyuklia yarushwe Afrika akidhani ni Urusi, 😂
Hiyo sio rahisi kutokea lazima watakua na protocol zao kabla ya kufyetua hayo makombora.

Wazungu sio kama sisi huku wa kuteua na kutengua kila siku au kujenga na kubomoa kila mwaka.
 
Damu ya ndugu zetu wapalestina na waislamu wote duniani inamtesa huyu kaafir, na badoo
 
Kuna video Moja anamuigizia anayotoka jukwaaani then anazulula bila kujua anakwenda

Kisha anawaambia watu kwenye mkutano
Yeye mwenyewe BIDEN akitoka jukwaaani ajui aelekee wapi anabaki kung'aang'aa macho ajielewi(huku akimuigilizia anavyokosa direction)
Sasa unadhani mtu kama huyu anaweza kujua analipeleka wapi taifa letu

Basi watu na waandishi wa habari wanacheka
Huwa nacheka kishenzi trump amiwa anamuigizia biden
trump msenge 🤣🤣🤣
 
Niaje waungwana,

Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda, basi nitaamini kuwa Marekani ni nchi inayoweza kuongozwa hata na Chid Benz kikubwa tu awe mzawa na mwenye ushawishi.

Haiwezekani nchi yenye uchumi mkubwa, teknolojia kubwa na vyombo vyenye ueledi mkubwa wa kijeshi, kiuchumi, kielimu na kiintelejensia waongozwe na mtu ambae husahau jambo kila baada ya dakika 3 au 5 kupita. Inasemekana hufikia mahali hadi ya kuwasahau mawaziri wake mwenyewe. Waziri wake wa mambo ya nje anamwita Obama na muda mungine akikutana na Obama anamwita Clinton.

Juzi alikuwa katika mkutano wa G7 na viongozi wenzake. Wakati wakiwa wamesimama wakiangalia askari wa miamvuli wanavyoshuka kutoka juu, ghafla yeye (Biden) akawatoka wenzake na kuelekea upande ambao haueleweki. Baada ya mkewe kuona hali hiyo ikabidi amuwahi kwenda kumshtua kwamba huko unapoelekea ni kichakani (ni bustan yenye majani marefu mithili ya kichaka) akamuonesha walipo wenzake, ndo akarudi tena pale alipokuwa amesimama na kuendelea na sherehe yao.

Hiyo tisa, kumi na pale alipofanya kituko kingine katika ikulu ya white house. Wakati walipokuwa wanasherekea yeye na viongozi waandamizi wa ikulu, yeye akawa anatoa machoni mithili ya mtoto anaejaribu kufuatilia kitu asichokijua. Ghafla akataka kuwachomoka ili aelekee anapopajua yeye ndo watu wa karibu wakamtuliza, huku yeye akionesha wazi kusahau kinachofanyika pale 😂😂😂

Hizo picha 3 za juu ni za mkutano wa G7 jinsi alivyowatoka na jinsi mkewe alivyomrudisha katika kundi. Na hizo picha 2 za nchini na jinsi alivyotoa macho kuangalia asichokielewa na pia akitaka kuwatoka watu waliokuwepo katika sherehe hizo.

Nina imani kwa haya anayoyafanya Biden kama yangefanywa na raisi wa nchi yoyote ya Afrika, basi raisi huyo angeandamwa na vyombo vyote vya kimataifa. Ni kama alivyodhalilishwa raisi wa Sudan kwa kuambiwa kuwa kajikojolea hadharan nk.

View attachment 3019615View attachment 3019616View attachment 3019617View attachment 3019618View attachment 3019620
Kumbe unamshauri Biden?....poa akipitia JF baadae ataona ujumbe wako
 
Kivipi, kwani Trump anatetema anapotembea na kupoteza kumbukumbu?
Trump yuko vizuri kwa kila kitu. Kuanzia kiafya, nguvu ya mwili, misimamo na maamuzi yenye tija kwa taifa lake. Trump amepishana miaka midogo tu na Biden, lakin ukiwaweka pamoj unaweza kufikiri kuwa Biden ni mzazi wa Trump kwa jinsi Biden alivyojichokea 😂😂😂
 
Tatizo babu yako hata kumbukumbu zinapotea, Asije kuamrisha makombora ya Nyuklia yarushwe Afrika akidhani ni Urusi, 😂
Imagine mtu yupo kwenye mkutano wa Summit huko Italy, yeye amesahau akafikiri yuko mdahaloni na Trump.

Anaambiwa ahutubie anasema anasubiri kwanza Trump aingie ukumbini ndo ataongea. Baadae akakumbushwa kuwa yupo katika Summit 😂😂😂
 
Anatembea kama robot, ila kama anampango wa kugombea hata maliza muhula.
Ataishia tu njiani alaf madaraka achukue yule mwanamk. Kama hawataki hilo litokee ni bora wamshauri mapema akae pemben kupisha wenye afya zao.
 
Huko uchumi ni imara siyo nchi zetu,
Gari hata likiwa imara vp kama dereva ni mbovu kuna asilimia kubwa ya dereva huyo kulitumbukiza gari hilo mtoni na kuuwa abiria wengi waliopo ndan ya gari.

So kama gari ni imara ni vizuri na dereva nae akawa imara, mwenye akili na afya timamu.
 
Kumbe unamshauri Biden?....poa akipitia JF baadae ataona ujumbe wako
FBI na CIA huwa wanapita sana ktk mitandao ya kijamii duniani ili kujua kama kuna hatari yoyote inayopangwa mitandaoni dhidi ya taifa lao na masilahi yao.

So hao hao watamfikishia tu babu ujumbe. Japo itabidi wamkumbushe kumbushe kila wakati kutokana na tatizo la kusahau sahau.
 
Back
Top Bottom