Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ni kweli, lakini anayoyafanya hasa akiwa ugenini hayaleti picha nzuri kwa taifa lake. Ikizingatiwa kuwa Marekani ni nchi inayoaminiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ulimwengu. So haifai kuongozwa na mtu wa aina ya Biden ambae mara nyingi hua hajui anachokifanya mpaka akumbushwe.Wasi wasi wangu asije kusahau na kujikuta ameamuru Vita vya Nuklea kati ya Marekani na Urusi.
Hata hivyo nchi zilizoendelea kama Marekani wana mifumo imara ya Uongozi hata kama kiongozi ni dhaifu bado hakuna kinachoharibika!
Lakini ana watu waliobobea kwenye kumshauriBiden hafai kuendelea kuongoza taifa kubwa na lenye nguvu kama Marekani. Ipo siku ataamrisha majeshi yake yaje yaivamie Tanzania akifikiri kuwa sisi ni warusi. Maana ana tatizo kubwa la kupoteza kumbu kumbu.
Kwenye mada umesema kuwa mke wake ndie aliyemrudisha baada ya kuona anaenda sehemu sio ila kwenye picha anaonekana Kamara ndie anayemrudishaNi wapi palipoandikwa kuwa Kamara ni mke wa Biden mkuu?
Hapana sisi wote tumekosea. Alikuwa ni waziri mkuu wa Italy anaitwa Giorgia Meloni. Kamara anaonekana katika hizo picha 2 za chini ambazo sherehe yao ilifanyikia white house.Kwenye mada umesema kuwa mke wake ndie aliyemrudisha baada ya kuona anaenda sehemu sio ila kwenye picha anaonekana Kamara ndie anayemrudisha
Imagine nchi yenye muamko wa vijana wasomi, wazalendo na wenye muamko inakwenda kupewa wazee ambao, hata zile shughuli za kitandani mpaka akumbushwe na mkewe ndo ajue kuwa kuna kunaniliu.Marekani kuna vijana wa hovyo kweli mpaka wanawapa nchi Macyborg, huyu Biden inaonekana alishakufa kitambo hili linalotembea ni Robot Mtu tu (Cyborg)
Ndomaana anatakiwa ashauriwe ili akapumzike na wajukuu nyumbani. Asing'ang'anie kuongoza nchi kama baadhi ya viongozi wetu wa kiafrika.Biden umri n tatzo...
..Mutuulize babu yako mwenye miaka 81 kama unaweza kufanya vikao 10 kwa siku.
Kitakacho fata ni Misiba na matangaWe subiri siku asahau na kupeleka makombora ya nyuklia North Korea badala ya kuyapeleka South Korea, hapo ndo watapojua kwamba mzee amebaki na mwili tu ila akili tayari imeshaondoka zake 🤣🤣
Kivipi, kwani Trump anatetema anapotembea na kupoteza kumbukumbu?Bora huyo Biden kuliko Trump
Trump ana ujinga mwingi ambao ni afadhali mara elfu kutetema kwa huyo babu.Kivipi, kwani Trump anatetema anapotembea na kupoteza kumbukumbu?