Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

Ngoja nikupe short stori. Kidg.

Baada ya mwisho wa Vita vya pili vya dunia mwaka 1945 mataifa mawili yaliibuka na kuwa nguvu kubwa kijesh na kiuchumi ambayo ni USSR ......huyu aliamini kwenye mfumo wa ujamaa (socialism). But marekani aliamini dunia lazma iwe na (ubepari) Kama ilivyo saa hizi

Wakaanza kushindana kusambaza ideology zao .......kwa kuanza kusaidia nchi kupata uhuru mfano USSR alisaidia Tz, Angola , msumbiji, South Africa.....ambazo baadae zika adopt socialism. Mfano Tz tulikuwa na UJAMAA. the same USA alisaidia nchi zingine kupata uhuru

Kushindana kwenye silaha.......hatimaye Vita ikahamia kwenye utengenezaji wa silaha.... mwaka 1945 USA walitengeneza bomu la Nyuklia......ambalo waliipga Japan .... But purposefull ili kuwa ni kuithibitishia dunia kuwa mm ni baba

Baada ya hapo USSR wali punic na kuingia maabara ambapo mwaka 1948 walifanikiwa kutengeneza bomu la HYDROGEN ambalo lilikuwa kubwa kuliko lile la Nyuklia la USA (Kama una kumbuka KIM alilitest bomu la HYDROGEN then had tetemeko lilitokea Japan


Hapa marekani walichanganyikiwa .....akaamua kutengeneza. bomu la Intercontinental balistic misiles ...(ICBM)....

The same USSR alitengeneza bomu la ICBM mwaka 1952


Pia baada ya hapo waliingia kupigana Vita baridi ( hawakuhusika moja kwa moja ). .mfano Vita vya Korea mwaka 1953 ....USSR alii support Korea kaskazin........but USA alisuport Korea kusini

Vita vya Vietnam.......USSR alipigana kaskzn USA ....alipigana kusini

The issue of Cuban misiles crissis ya mwaka 1955 na mwisho wa Vita baridi

Baada ya kufanyiana vitimbwi Kama hivyo USA.... Alim time mpinzani wake kwa kupeleka Nyuklia za hatari pale uturuki kwa Erdogan kumbuka .........uturuki ina angaliana Sana na jiji la MOSCOW. hivyo hapa USSR ikabidi awe mpole kwa muda coz akizngua anapigwa nyumbani

USSR ilipiga planning kubwa na kuamua kupeleka dhana za hatari kwa Fidel Castro....pale Cuba. Pia kumbuka ki geography. Cuba iko juu ya marekani USA akimwaga ugali na USSR anamwaga mboga[emoji23][emoji23]

Then baada ya USA kuona hivyo ....kumbuka marekani hapendi Vita nchini kwake mwaka 1965. Jf Kennedy raisi wa marekani alikubali yaishe ......akamuita mwenzake wa USSR ....... Gorbachev kutafuta suluhu

Baadhi ya masharti yaliyo wekwa :

1. Marekani kuondoa silaha zake turkey
As well as USSR kuondoa silaha pale Cuba

Marekani kuivunja NATO ambayo haikuvunjwa mpaka Sasa
pia Russia kuivunja WARSAW PACT (hii ilkuwa ni umoja wa kujihami wa nchi za ki soviet)


Majeshi ya marekani na urusi hayakutakiwa kukalibiana kwa umbali fulani hivi .......karibu na mipaka ya URUSI

So chanzo Cha mgogoro ni NATO kukaidi mikataba waliyo wekeana ......

I stand to be corrected for any mistake here .....
Cuban missile crisis 1962 na sio 1955
 
hataki bomba la gesi la Nord string-2 lifanikiwe hana zaidi na anajua ili kufanikisha hili mawili
1-RUSSIA iingie vitani na UKRAINE ili jamaaa wawe hawajatulia kuukamilisha ule mradi au hata wao watumike kuuhujumu ili usiendeleee
2-UKRAINE kujiunga na NATO anadhani hizi ndio zitakua njia sahihi zakuukwamisha huo mradi wa bomba la gesi yule sheitwani[emoji35][emoji35][emoji35]
Lakini hii gesi inaenda kwa nchi za Ulaya Magharibi ambazo zinahihitaji, yeye kinamuuma nini?
 
Back
Top Bottom