Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

Up to know .....wamezuiliwa ....fuatilia bbc taarifa za leo
BBC wanasema kulikuwa na shutuma kwamba Urusi imeiwekea Ukraine zuio la kuitumia bahari ya Azov. Mpaka sasa sijaona update kwao.

Ila, vyanzo ndani ya Ukraine vinasema, hilo zuio halipo tena. Meli zinapita kama kawaida.
 
Itabidi umalizane na vyanzo vyako ndani ya Ukraine kwani Russia akianza mashambulizi ataanzia na "cyber attacks" na kuzuia njia zote za mawasiliano.
 
Kwa maana hiyo ni kwamba Marekani anaufyata kwa Urusi?

"Hatutapeleka wanajeshi wetu" hii tafsiri yake ni kwamba hatuna uwezo wa kuwazuia hawa jamaa wakianza jambo lao

na hatuna vifaa vya kupambana nao..hii kauli ya Biden ni ya kuitafakari haswaa kwa hao wamarekani waishio Ukraine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekane wa bagamoyo labda
 
Yaani Marekani yuko obssessed sana na mzozo wa Ukraina na Urusi kuliko nchi majirani wanaozunguka Ukraine. Sijajua ana maslahi gani pale mahali
hataki bomba la gesi la Nord string-2 lifanikiwe hana zaidi na anajua ili kufanikisha hili mawili
1-RUSSIA iingie vitani na UKRAINE ili jamaaa wawe hawajatulia kuukamilisha ule mradi au hata wao watumike kuuhujumu ili usiendeleee
2-UKRAINE kujiunga na NATO anadhani hizi ndio zitakua njia sahihi zakuukwamisha huo mradi wa bomba la gesi yule sheitwani[emoji35][emoji35][emoji35]
 
But Putin nadhani kashayajua yote haya
 
Kwa maana hiyo ni kwamba Marekani anaufyata kwa Urusi?

"Hatutapeleka wanajeshi wetu" hii tafsiri yake ni kwamba hatuna uwezo wa kuwazuia hawa jamaa wakianza jambo lao

na hatuna vifaa vya kupambana nao..hii kauli ya Biden ni ya kuitafakari haswaa kwa hao wamarekani waishio Ukraine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi chochote ni kwamba vita ikianza ni none stope shaba mtu sasa anawatanabahisha raia wake kwamba hawatakuwa na muda wao wata-deal na vita tu dhidi ya urusi na nikwambie jana Marekani imeongeza majeshi mengine 3000 Poland.,
 
Ukiangalia geographically, Putin roho inamuuma sana na yupo tayari kupigana kwa namna yoyote ile ilimradi amzuie Us kusogelea mpaka wake Ukraine kupitia Nato.

Kidume kimetoa oda kwamba marufuku Ukraine kujiunga nato, ngoja tuone.
Roho inamuuma lakini hana uwezo wa kupambana, hata hao urusi nao wameambiwa na biden kama ni vidume wavamie Ukraine mbona wanasubiri subiri tu hadi sasa,
 
Huelewi chochote ni kwamba vita ikianza ni none stope shaba mtu sasa anawatanabahisha raia wake kwamba hawatakuwa na muda wao wata-deal na vita tu dhidi ya urusi na nikwambie jana Marekani imeongeza majeshi mengine 3000 Poland.,
Ni wanajesh wake au ni wa NATO?
 
Back
Top Bottom