Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

I stand to be corrected for any mistake here .....
Sawa Mkuu.
Baada ya hapo USSR wali punic na kuingia maabara ambapo mwaka 1948 walifanikiwa kutengeneza bomu la HYDROGEN ambalo lilikuwa kubwa kuliko lile la Nyuklia la USA (Kama una kumbuka KIM alilitest bomu la HYDROGEN then had tetemeko lilitokea Japan
USSR alitest Silaha zake za Nyuklia kwa mara ya kwanza mwaka 1949. Na wala sio Hydrogen Bomb. Wa kwanza kutengeneza Hydrogen Bomb ni Wa Marekani na walilitest mwaka 1952, USSR akalipa mwaka 1955 kwa kutest yake.
Hapa marekani walichanganyikiwa .....akaamua kutengeneza. bomu la Intercontinental balistic misiles ...(ICBM)....

The same USSR alitengeneza bomu la ICBM mwaka 1952
ICBM zilianza kujaribishwa Mwaka 1957. Walianza Marekani ila jaribio la kwanza likafeli, kisha wakajibu USSR na wakafanikiwa.
mfano Vita vya Korea mwaka 1953 .
Mwaka huo ndio vita viliisha. Ila vilianza mwaka 1950.
The issue of Cuban misiles crissis ya mwaka 1955 na mwisho wa Vita baridi
Cuban Missile Crisis ilikuwa mwaka 1962. Mwaka 1955 ndio kwanza Mtawala alikuwa Fulgencio Batista. Fidel Castro ambaye ndie alikuwa Mtawala wa Cuba wakati wa Cuban Missile Crisis, aliingia madarakani kwa Mapinduzi mwaka 1959. Na vita baridi mwisho wake haukuwa mwaka huo.
USSR ilipiga planning kubwa na kuamua kupeleka dhana za hatari kwa Fidel Castro....pale Cuba. Pia kumbuka ki geography. Cuba iko juu ya marekani USA akimwaga ugali na USSR anamwaga mboga
emoji23.png
emoji23.png
Cuba iko kusini mwa Marekani
Then baada ya USA kuona hivyo ....kumbuka marekani hapendi Vita nchini kwake mwaka 1965. Jf Kennedy raisi wa marekani alikubali yaishe ......akamuita mwenzake wa USSR ....... Gorbachev kutafuta suluhu
JFK mwaka 1965 alikuwa kashafariki (aliuawa mwaka 1963). Na Khrushchev alikuwa hayupo tena madarakani mwaka huo (1965). Mazungumzo yalikuwa mwaka 1962.

Mengine watasema wengine.
 
hujaelewa nn upande wa kusini wa Ukraine kuna bahari hizo mbili azov na black Sea sasa urusi amefungu Ukraine asitumie bahari an mfano Tanzania tuziiwe kutumia bahari yetu ya Hindi kaweka jeshi baharini.
Basi ni russia ni mkorofi ..atafungaje maji ya MUNGU[emoji23][emoji23]
 
Sawa Mkuu.

USSR alitest Silaha zake za Nyuklia kwa mara ya kwanza mwaka 1949. Na wala sio Hydrogen Bomb. Wa kwanza kutengeneza Hydrogen Bomb ni Wa Marekani na walilitest mwaka 1952, USSR akalipa mwaka 1955 kwa kutest yake.

ICBM zilianza kujaribishwa Mwaka 1957. Walianza Marekani ila jaribio la kwanza likafeli, kisha wakajibu USSR na wakafanikiwa.

Mwaka huo ndio vita viliisha. Ila vilianza mwaka 1950.

Cuban Missile Crisis ilikuwa mwaka 1962. Mwaka 1955 ndio kwanza Mtawala alikuwa Fulgencio Batista. Fidel Castro ambaye ndie alikuwa Mtawala wa Cuba wakati wa Cuban Missile Crisis, aliingia madarakani kwa Mapinduzi mwaka 1959. Na vita baridi mwisho wake haukuwa mwaka huo.

Cuba iko kusini mwa Marekani

JFK mwaka 1965 alikuwa kashafariki (aliuawa mwaka 1963). Na Khrushchev alikuwa hayupo tena madarakani mwaka huo (1965). Mazungumzo yalikuwa mwaka 1962.

Mengine watasema wengine.
Shukran .....mkuu....kitambo Sana hizi mambo
 
Pia kihistoria......USA anavunja baadhi ya term walizo saini ili ku end cold war

Coz moja ya term ilikuwa ni hizi inchi majesh yao kuto karibiana kwa umbali.........

Ukraine nisehemu muhimu sana kimkakati, ulaya kwa upande mwingine wanamuona Us kama muhimu kiasi kwao sababu anawasaidia kuwatuliza urusi kidogo.

Vinginevyo Ukraine ingeasha zama mazima russia, na Russia angekuwa tayari yupo karibu sana na ulaya.

Ngoja leo putin na kibabu Biden waongee tujue upepo ukoje.
 
Kuna mpuuzi amekaa mahali anawaza Urusi iko tayari kupambana na NATO, haitatokea
 
Kabisa mkuu
 
Kwa maana hiyo ni kwamba Marekani anaufyata kwa Urusi?

"Hatutapeleka wanajeshi wetu" hii tafsiri yake ni kwamba hatuna uwezo wa kuwazuia hawa jamaa wakianza jambo lao

na hatuna vifaa vya kupambana nao..hii kauli ya Biden ni ya kuitafakari haswaa kwa hao wamarekani waishio Ukraine.

Sent using Jamii Forums mobile app

hapo kamaanisha hatapeleka wanajeshi wake kuokoa raia walio ukrainien na sio kutopeleka jeshi lake kupambana na Putin
 
Kuna mpuuzi amekaa mahali anawaza Urusi iko tayari kupambana na NATO, haitatokea

Kwanini?.

Putin ni kichaa yule, naanajua madhara makubwa atakayo yapata Ukraine wakijiunga na nato.
Wasiwasiwake haupo ulaya, yeye anaona Ukraine wakijiunga nato marekani atakuwa anampumulia sebulenikwake,kitu ambacho putini hataki na atajaribu kuzuiya kwa garama yoyote mapema kabla mambo hayaja haribika.
Us wao wanataka Ukraine wakijiunga nato tu fasta watapeleka mamitambo yao ya ulinzi wa anga yote na vituo vywa kijeshi vya kutosha Ukraine ili kumdhibiti urusi.
Na putini hatakubali,na ndio maana hatasita kuwavaa nato kama wata kaidi maagizo ya kuacha mpango wa kumuunga Ukraine nato.

Putin amenogewa kujaribu, na wenzake wanamuangaliatu.

Alijaribu kuwazuiya Us Syria aka faulu.
Akajaribu kuimega Krimea aka faulu sasa anataka kujaribu kuichukuwa Ukraine nzima, ngoja tuone kitakacho tokea na labda ataweza.
Akifanikiwa kuchukua Ukraine nzima hataishia hapo,ataendeea kujaribu tena na tena natena ndio maana lazima nato nao watataka kumzuiya na moto ndio utawaka.
 
Ukiangalia geographically, Putin roho inamuuma sana na yupo tayari kupigana kwa namna yoyote ile ilimradi amzuie Us kusogelea mpaka wake Ukraine kupitia Nato.

Kidume kimetoa oda kwamba marufuku Ukraine kujiunga nato, ngoja tuone.
jshu yote imekalia hapo
uwez kuruhus uan kwako fisi wakae shart la putin hilo tu
 
hujaelewa nn upande wa kusini wa Ukraine kuna bahari hizo mbili azov na black Sea sasa urusi amefungu Ukraine asitumie bahari an mfano Tanzania tuziiwe kutumia bahari yetu ya Hindi kaweka jeshi baharini.
Hiyo habari ni ya siku kadhaa zilizopita. Kwa sasa hakuna hilo zuio, kulingana na taarifa kutoka Ukraine.
 
Kwanini?.

Putin ni kichaa yule, naanajua madhara makubwa atakayo yapata Ukraine wakijiunga na nato.
Wasiwasiwake haupo ulaya, yeye anaona Ukraine wakijiunga nato marekani atakuwa anampumulia sebulenikwake,kitu ambacho putini hataki na atajaribu kuzuiya kwa garama yoyote mapema kabla mambo hayaja haribika.
Us wao wanataka Ukraine wakijiunga nato tu fasta watapeleka mamitambo yao ya ulinzi wa anga yote na vituo vywa kijeshi vya kutosha Ukraine ili kumdhibiti urusi.
Na putini hatakubali,na ndio maana hatasita kuwavaa nato kama wata kaidi maagizo ya kuacha mpango wa kumuunga Ukraine nato.

Putin amenogewa kujaribu, na wenzake wanamuangaliatu.

Alijaribu kuwazuiya Us Syria aka faulu.
Akajaribu kuimega Krimea aka faulu sasa anataka kujaribu kuichukuwa Ukraine nzima, ngoja tuone kitakacho tokea na labda ataweza.
Akifanikiwa kuchukua Ukraine nzima hataishia hapo,ataendeea kujaribu tena na tena natena ndio maana lazima nato nao watataka kumzuiya na moto ndio utawaka.
Sema USA ni wazuri Sana kwenye kuchimba biti....
 
Back
Top Bottom