Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kihistoria......USA anavunja baadhi ya term walizo saini ili ku end cold warUkiangalia geographically, Putin roho inamuuma sana na yupo tayari kupigana kwa namna yoyote ile ilimradi amzuie Us kusogelea mpaka wake Ukraine kupitia Nato.
Kidume kimetoa oda kwamba marufuku Ukraine kujiunga nato, ngoja tuone.
Yaaaah mkuu.........mkuu....naona balance of power inarudi kwa kasiMchina huku kamuunga mkono Argentina huko falkland ......UK kaanza kuvimba..........hapa kikinuka kila mtu atamuweka busy mwenzie......china huku na taiwan........kiduku anavyorusha yale makombora baharini ni kama mjapan nae anapewa indiketa....
Marekani bado inazo kambi lukuki za kijeshi Middle East.Daaaaah......kimeumana......kwenye hili suala nilimkubali tu mu Iran ....
Alitiishia kuwa yeyote atakaye kubali majesh ya marekan kuweka kambi pale middle East........atakufa Nae[emoji23][emoji23]
Lkn kwa mrusi hizi haziwezi kufua dafu...coz wale jamaa .....uchumi wao wanawekeza tu kwenye silahaUkraine anatakiwa aelewe kwamba msaada atakaopewa na NATO ni silaha tuu ila front wajiandae kuingia wenyewe..
View attachment 2116501
Yaaaah mkuu....pia wanataka kumzunguka pande zote .....NATO inatamani sana kupata washirika wa iliyokuwa USSR ili wapate kushare utaalam wa silaha za iliyokuwa Shirikisho la Urusi...
Shirikisho la Urusi ni hii ya sasa (Russia). Iliyokuwepo zamani ni Umoja wa Kisovieti (USSR) ndani ya Warsaw Pact. Kuna wakati fulani wao wenyewe [Warusi] waliomba kujiunga na NATO wakakataliwa.NATO inatamani sana kupata washirika wa iliyokuwa USSR ili wapate kushare utaalam wa silaha za iliyokuwa Shirikisho la Urusi...
Ngoja nikupe short stori. Kidg.Hivi chanzo cha huu mzozo wa Russia na Ukraine ni nini?
Kuna kitu kimenipita hapo.
Duuuh inaweza kuwa kweli mkuu.....coz kanisa la orthodox lime dominate Sana RussiaShida baadhi ya wananchi wa ukraine wana asili ya urusi.......kuna vita ya chinichini hadi kwenye kanisa lao la orthodox.........kuna makanisa yamekubali kua chini ya kiongozi wa russia ....huku wengine wakitaka kanisa la Ukraine lijitenge............mrusi anaweza akaichukua hii nchi kama karata zake atacheza vizuri
Inawezekana kwa sababu after ....kuanguka kwa USSR ...... marekani ilipandikiza vibaraka wengi pale .... But the raise of putin into power .....kumeiwezesha Russia kusimama Tena Kama Giant wa dunia ......Kama ilivyokuwa kipind Cha JOSEPH STALLINShirikisho la Urusi ni hii ya sasa (Russia). Iliyokuwepo zamani ni Umoja wa Kisovieti (USSR) ndani ya Warsaw Pact. Kuna wakati fulani wao wenyewe [Warusi] waliomba kujiunga na NATO wakakataliwa.
Ni kabla ya USSR kuvunjika. Inaelezwa kwamba, USSR ilikuwa ikihofia uvamizi mwingine wa Ujerumani kama ule wa Adolf Hitler.Inawezekana kwa sababu after ....kuanguka kwa USSR ...... marekani ilipandikiza vibaraka wengi pale .... But the raise of putin into power .....kumeiwezesha Russia kusimama Tena Kama Giant wa dunia ......Kama ilivyokuwa kipind Cha JOSEPH STALLIN
hujaelewa nn upande wa kusini wa Ukraine kuna bahari hizo mbili azov na black Sea sasa urusi amefungu Ukraine asitumie bahari an mfano Tanzania tuziiwe kutumia bahari yetu ya Hindi kaweka jeshi baharini.Sijaielewa hoja yako!
Kwa maana hiyo ni kwamba Marekani anaufyata kwa Urusi?
"Hatutapeleka wanajeshi wetu" hii tafsiri yake ni kwamba hatuna uwezo wa kuwazuia hawa jamaa wakianza jambo lao
na hatuna vifaa vya kupambana nao..hii kauli ya Biden ni ya kuitafakari haswaa kwa hao wamarekani waishio Ukraine.
Sent using Jamii Forums mobile app