Rais Biden ndiyo kalikoroga kabisa. Asema watakuwa pamoja na Israel kwa kila hali. Na Israel sio waliopiga hospitali ya Gaza

Nahifadhi maneno yako! Usikimbie tu😂 mmeanzisha vita msiyoiwezaaaa! Nyambafů
Na wewe hifadhi maneno yako.Hii vita si ya waarabu na waislamu peke yao dhidi ya Israel na Marekani. Allah yuko pamoja nasi. Hajawahi kumpa njia na ushindi mtu anayebariki ushoga na kupora ardhi za watu.Na anayeuwa watu wasio na hatia mchana kweupe
 
Madrasa ndio chimbuko la shule zote.
Hahahaaaa shule za wajinga na wapumbavu. Visasi , wivu, fujo, ugomvi , kuchinja wengine.

Kuna elimu humo!

Popote penye uislam pana fujo.

Kwa huku Uswahilini penye uislam mwingi pana umaskini mwingi pia.
 
Mda huu Kambi ya Jeshi ya US imelipuliwa huko Iraki
 
Mwisho wake naona kama ni kufutika kwa Israel na Marekani yake.
Ki-hamas hamas umepatia tena Umepatwa... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…