Rais Biden ndiyo kalikoroga kabisa. Asema watakuwa pamoja na Israel kwa kila hali. Na Israel sio waliopiga hospitali ya Gaza

Tuanzie hapa kwanza kabla hujamwambia mwenzio kaishia darasa la 3B, "ujitambuhi" ni neno la lugha gani tena?!.
Kwa hiyo hata alwaz maneno yake ni typing error?!
 
Na wewe hifadhi maneno yako.Hii vita si ya waarabu na waislamu peke yao dhidi ya Israel na Marekani. Allah yuko pamoja nasi. Hajawahi kumpa njia na ushindi mtu anayebariki ushoga na kupora ardhi za watu.Na anayeuwa watu wasio na hatia mchana kweupe
Kwa hiyo Allah amewaruhusu kuwaua wayuhudi 1400?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.

Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.

Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.

Biden pledges solidarity with Israelis and suggests 'other team' to blame for Gaza hospital blast

View attachment 2785381
kama hauelewi, hii yote ni delay tactics wakati israel, na washiriak wake, wakijiandaa kuikabili iran hezbollah na hamas. vita ni akili sometimes.
 
Mda huu Kambi ya Jeshi ya US imelipuliwa huko Iraki
Eti anatoka huko kwao kwenda kuuthibitishia ulimwengu kuwa watakuwa na Israel halafu anawatetea kuwa hawajauwa.Anawafanya watu ni mazombie sana.
 
Islamic jihadi ndio wameua raia wao hospitalini
 
Tatizo waarabu nyie ni watu wajinga sana na ovyo kweli, unaanzisha vita then unahitaji USA atulize pale unapozidiwa et

Nyie waarabu mnatumika na Iran ambao Iran ni maadui wa Magharibi, hivyo hapo Iran ndio wanaovimbiwa na kuonyeshwa kibri na sio watu wa Gaza ok.

Iran bado hana uwezo mbele ya wakubwa wa Dunia, anawadanganya na kuwapa silaha but issue kuvimba vita iishe huo uwezo bado, amebaki huko kulalama death to Amerika itasaidia nini?
Naunga mkono hoja, waarabu ni wapumbavu na wanafiki sana, yaani waanzishe vita wao halafu waanze kulalamika wao..hovyoo. Acha wachezee kichapo tu sasa hamna namna.
 
Eti anatoka huko kwao kwenda kuuthibitishia ulimwengu kuwa watakuwa na Israel halafu anawatetea kuwa hawajauwa.Anawafanya watu ni mazombie sana.
Kwahiyo ulifurahia vile Waisrael waliuawa na wanaokufa kwa sasa et ee?

Ila wakifa wa upande huu inafurahia?

Kwanini washambulie tamasha la muziki? Kama sio uchokozi ni nini?
 
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.

Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.

Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.

Biden pledges solidarity with Israelis and suggests 'other team' to blame for Gaza hospital blast

View attachment 2785381
Watu walikuwa wanasubir mmarekan atoe ruksa. Sasa subir uone. Soon tutaanza kulokota makobaz kila mahali
 
Hao magaidi wanarusha roketi na kuua watu wao wenyewe kisha wanasingizia Israel na kufikiri hawataumbuka. Bure kabisa.
 
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.

Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.

Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.

Biden pledges solidarity with Israelis and suggests 'other team' to blame for Gaza hospital blast

View attachment 2785381
hamas walichagua namna ya kushambulia?
 
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.
Ndiyo maana ya transparency
 
Back
Top Bottom