Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Nigeria wana utaratibu wao kuwa WAGOMBEA LAZIMA WAWE MCHANGANYIKO, KAMA MGOMBEA URAIS NI MKRISTO BASI MAKAMU WAKE NI MUISLAM NA KINYUME CHAKE.
Siyo utaratibu rasmi Bali ili ushinde na Kama si muislam basi uwe na mgombea mwenzangu muislam bila hivyo hutoboi
 
Nimefika NIGERIA mwaka Jana tu hapo, WAISLAM ni wengi kuliko WAKRISTO, Mbaya zaidi, ni Nadra kukuta Wakristo upande wa Kaskazini ila ni rahisi kukuta Waislam upande wa Kusini.
Usijidanganye kabisa kuhusu hilo.
Correct! KASKAZINI SI KUNA KATA KICHWA ie SHARIA law.
 
Kwann unatumia sentence nchi zote za Africa magharibi majority ni slamia
Huko uislam umeingia Karne ya 9,wakati ukiristo umeingia na utumwa karne 5 baadae,Cameroon Sina hakika na demography yake
 
Huu muda uliotumia kuchambua siasa za Nigeria ungetoa ushaur juu ya changamoto za nch yako Kama

Tozo

Mfumuko wa Bei

Kukatika kwa umeme

Ukosefu wa ajira nadhan nchi ingekuwa mbali Sana

Halafu tambua mchakato wa kumpata mgombea n wa wanachama sio wa Rais Buhari

TUHESHIMU DEMOKRASIA ZA WENZETU
 
Umeandika uzandiki tu, halafu matatizo ya Nigeria hayakuletwa na Buhari kama unavyopotosha ila ameyarithi tu kama walivyoyarithi kina Obasanjo.

Kuhusu bokoharam, ni wakati huu wa Buhari kundi hilo limerudishwa nyuma na kupoteza maeneo isipokuwa changamoto ya magenge ya utekaji (bandits), Iswap ndio yanachangia amani kuzorota, Buhari kajitahidi mno kulivunja nguvu bokoharam.

Nigeria watamchagua wanayemtaka wala Buhari hawezi kuwachagulia Rais.
 
MUCH RESPECT KAKA! 👍🏾🙌🏾🙏🏾
 
Umetisha sana bwana utam... hakika point na maoni yako ni matam kama kisheti 👍🏾
 
Buhari ananyoshewa mkono kuwa ni moja ya wafadhili wa boko Haram na wakati wake wakiwa madarakani wametulia sio kwamba wamethibitiwa
 
Hatuna namna ya kuwasaidia Nigeria maana sisi wenyewe changamoto mpya nyingi kila siku
 
Buhari ananyoshewa mkono kuwa ni moja ya wafadhili wa boko Haram na wakati wake wakiwa madarakani wametulia sio kwamba wamethibitiwa
Mkono hata IRAQ alinyooshewa kua anasilaha za SUMU lakini hakua nazo

Wanaomnyooshea mkono waje na ushahidi sio tu shutma

MUHAMADUU BUHARI piga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki yenu dhidi ya uislam ni kubwa na kidogo ktk chuki zenu ndo mnadhihirisha , ila yaliyoko nyoyoni mwenu ni makubwa zaidi. Hamlali ila mnawaza ni namna gan mtaufuta uislam dunian but hamtaweza
 
Wanajitambulisha km waislam ambao wanatumia silaha za kimarekan,magar ya kijapan na pikipik za kichina.

Wakijisikia hamu ya kugonga wanavamia shule na kuteka mabint wabichiiiiiiii ili kukidh haja zao.
Sasa km wanatumia magari ya kimarekan, japan na china huoni km hayo mataifa ndo wafadhiri wao km ilivo IS ni kundi la mmarekan na magharibi? Akili ongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…