Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Angefika 2025 nchi yetu ingekuwa zaidi ya Zaire ya Mobutu Sese seko, lakini tunamshukuru Mungu kwa aliyoyatenda.
Huna tofauti na Magufuli aliyekuwa anaamini corona itaondoka kwa kuomba Mungu.
 
CAG: kuna ndege tangu 2015 zipo grounded hadi leo .
 
Mosi: Zanzibar si mwanachama wa SADC na si nchi

Pili: Ndio Raisi Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia, Samia ndiye mkuu wa nchi/raisi wa nchi

Tatu: Hiyo ni dalili ya Zanzibar kupendelewa sana katika uongozi wa Mzanzibari Samia, watanganyika poleni
 
Huyo Mwinyi kawakilisha mara ngapi huko nje? hata Shein alikuwa anamwakilisha mwendazake ingawaje haikuwa mara kwa mara..
 
Kasome Uraia
 
April 8, 2021
Maputo, Mozambique

SADC Double Troika Session address by President of Mozambique

Source: GovernmentZA
 
08 April 2021
Maputo, Mozambique

SADC Troika Opening Session in Maputo chaired by the President of Botswana

Source : GovernmentZA
 
I

Limekaa vizuri tu, tena Lima afya na linaleta taswira nzuri mno kwenye JAMII ya kimataifa.
Kimsimgi, Rais Wa Jamhuri ya Tanzania amaweza kumtuma raia yeyote ndani ya mipaka ya Jamhuri ya muungano Wa Tanzania!! Hapo ni credit kwa mama!!

Huna hoja, kwamba Rais Mwinyi ni 'raia' yeyote!
 
Duniani ni kutesa kwa zamu, sasa ni wakati na zamu ya Zanzibar.
 
Mbona poa tu... Kwenye serikali ya JMT yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri... So katumiwa kama mjumbe kwenda kumwakilisha Mama... Labda kama una lako la moyoni na wazanzibari

Ni wapi nimetaja Wazanzibari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…