Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
kwani hao sio watu shekheKwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hao sio watu shekheKwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Hata kama Mwinyi ni ni part and parcel ya JMT ..... narudia kusema Mwinyi hana wadhifa wowote kwenye serikali ya JMT.Kwenye serikali ya Tanzania au Tanganyika?
KWA sababu hii ni serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,mwinyi ni part and parcel of serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na anaingia kama mjumbe wa baraza la mawazir,
Kuna shida gan kumwakilisha RAIS wa jamhuri ya muungano wa Tanzania??
RAIS,ana washaur hawez kufanya mambo KWA kukurupuka tuh
wakikusikia heeeAnaanza kupita njia za jiwe
Kaanza kupandisha mabega huyu
Acha upimbi chapa kazi😅Acha uboya we jinga
Huyu tunajua anajua kuongea english
Yule alikuwa hajui kuongea english
Sasa huyukilichomfanya asiende ni nini na english anajua
Akienda kwenye mkutano,anaenda kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania,haendi kama Rais wa Znz....
Mhe Samia angeweza kumtuma yeyote aende kumwakilisha either awe madarakani au asiwe madarakani
Mfano the late JPM alishawahi kumtuma mzee Mkapa na Mzee kikwete mara nyingi waende kumwakilisha.
Uwakilishi is not a big deal.
Kwani Rais wa Zanzibar ana cheo/wadhifa gani katika serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kama isemavyo katiba...???
Na kama katiba inamtambua katika serikali ya Muungano basi ni haki yake kuagizwa kwenda huko
Wadau walianza kumsifia Madame, sasa ngoja tuone maana safari ndiyo baado mbichi.
Anazurura Hombolo Tu. 😗😆😃😀😂😁yeye anatembelea vituo vya watoto yatima...
Hapana tunataka tufahamu nafasi ya Rais wa Zanzibar katika serikali ya muungano kwa sababu katiba iko kimya! Je ni namba 3 au 4?Mmeanza,wengine hamkawii kusema kwamba kampa nafas ya kwenda kuwakilisha mwinyi KWA kuwa ni Muislam wenzake,hamna jema nyinyi..!!
Ila poa tuh,tutaenda hivyo hivyo mtake msitake
Dr mpango ni mgonjwaMwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Mara paap!! Wanasema Urojo uwe National dish
Hata bara tusipopata katiba mpya muda huu ndio basi tenaSMZ wasipotatua kero zao za muungano awamu hii ya MAZA basi itakula kwao.
Hata nyie mnaomsimanga JPM kuhusu lugha bado na nyie mpo low badala ya raw! Nyani haoni mkundu wake (kundule). After all, tunachohitaji ni maendeleo 😀 😀 😀Hata Kiswahili chake kilikuwa extremely raw! Ilikuwa tabu juu ya tabu
Gharama za kuwakilishwa na kwenda mwenyewe ni tofauti sn.Hayo yote nimekubali
Swali ni kwanini hajaenda mwenyewe?
Au anaanza kuwa paranoid of coup d'etat kama mwendazake?