TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Nao ni watanzania piaKwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Acha ubaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nao ni watanzania piaKwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Makamu wa rais hayupo, au sarakasi ndo zimeanza mapema..
Bora iwe mikononi mwa WaZanzibar kuliko ilivyokuwa chini ya Jiwe!Kwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
JPM hakuwatuma akina JK kumwakilisha kwenye mambo ya kikazi. Hii issue ni ya wakuu wa nchi .... kwenye serikali ya Tanzania Mwinyi hana wadhifa wowote ule zaidi ya kuwa mjumbe kwenye vikao vya Balaza la Mawaziri .... Makamu wa Rais au Waziri yeyeote kwenye serikali ya Tanzania akitumwa kumwakilisha ... it's fine. Ila hii ya Mwinyi, binafsi naona ina walakini!!Akienda kwenye mkutano,anaenda kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania,haendi kama Rais wa Znz....
Mhe Samia angeweza kumtuma yeyote aende kumwakilisha either awe madarakani au asiwe madarakani
Mfano the late JPM alishawahi kumtuma mzee Mkapa na Mzee kikwete mara nyingi waende kumwakilisha.
Uwakilishi is not a big deal.
JPM hakuwatuma akina JK kumwakilisha kwenye mambo ya kikazi. Hii issue ni ya wakuu wa nchi .... kwenye serikali ya Tanzania Mwinyi hana wadhifa wowote ule zaidi ya kuwa mjumbe kwenye vikao vya Balaza la Mawaziri .... Makamu wa Rais au Waziri yeyeote kwenye serikali ya Tanzania akitumwa kumwakilisha ... it's fine. Ila hii ya Mwinyi, binafsi naona ina walakini!!
Hajaenda pale kuwakilisha zanzibar,ameenda kuwakilisha jamhuri ya muungano wa tanzaniaAmeenda kama nani? Waziri asiekuwa na Wizara Maalumu ama? Tanzania ndio ipo SADC na sio Zanzibar, kwaio alitakiwa aende mtu aliepo kwenye Serikali ya Muungano na kama ni yeye basi ni Waziri asiekuwa na Wizara Maalumu. Ivi vyeo vingine bana. Watu wamevuruga stucture ya Muungano
Huu ndiyo wakati pekee wa wazanzibar kuitoa Zanzibar kwenye mikono ya mkoloni Tanganyika
Hilo ni gumu sanaHuu ndio muda muafaka wa Zanzibar kudeal na zile kero za Mungano zimezodumu tangu mwaka 1964.
Nadhani Mama anaweza kuamua kuwapa wakitakacho ili isionekane na yeye ni dictator.
MKUTANO UNAHUSU MASUALA YA ULINZI NA USALAMA, HUSSEIN MWINYI ANA UZOEFU NA MASUALA HAYO KWANI AMEKUWA WAZIRI WA ULINZI KWA MUDA MREFU.HIVYO ATAKUWA NA MTAZAMO MPANA WA MASUALA YATAKAYOJADILIWA HUKO.Hayo yote nimekubali
Swali ni kwanini hajaenda mwenyewe?
Au anaanza kuwa paranoid of coup d'etat kama mwendazake?
JPM hakuwatuma akina JK kumwakilisha kwenye mambo ya kikazi. Hii issue ni ya wakuu wa nchi .... kwenye serikali ya Tanzania Mwinyi hana wadhifa wowote ule zaidi ya kuwa mjumbe kwenye vikao vya Balaza la Mawaziri .... Makamu wa Rais au Waziri yeyeote kwenye serikali ya Tanzania akitumwa kumwakilisha ... it's fine. Ila hii ya Mwinyi, binafsi naona ina walakini!!
Bado anamambo muhimu ya kuyashughulikia kwanza mbona mnakerekwa na mambo madogoHayo yote nimekubali
Swali ni kwanini hajaenda mwenyewe?
Au anaanza kuwa paranoid of coup d'etat kama mwendazake?
Ukabila huu unarudi kwa form ya jokes.Zenji Gang [emoji817]
Mkuu, mimi nilikuwa najibu hoja ya mtu mwingine. Sasa wewe kuingilia kunijibu bila kujua comment imetokana na nini .... ni sawa na kudandia mbele ya train.Who is JPM by the way,unaweza kuongea vitu vya maana KWA kumfanyia Reference Huyo Jamaa yako?
You can't be serious