Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
-
- #21
Ungesema nimesotaje!Omba yote,Lakini usije kuongilia contents zinazoiathiri Chato kama mbuga za wanyama,misitu
Sasa wewe kama una uelewa mzee si angeshakupachika kwenye ka-cheo.Maana umesota zamani sana.
Ni bahati nzuri kuwa kinywani mwangu hayatoki maneno ya kushusha staha ya mtu, kutukana, wala dharau (nielekeze nilitakiwa kuleta uzi gani wa kukufurahisha?)Sema unatafuta uteuzi wewe
Kidanganye, mkoa tunauunda huku Chato na utaita mkoa Rubondo makao makuu yatakuwa Chato! Huko unakotaka Kuna hospital ya rufaa? Kuna uwanja wa ndege? Kuna vyuo vya Veta?
Kwa hiyo Kigoma wewe ndiyo bonge la mjanja unaweza kuomba mkoa kuliko RCC?Ni bahati nzuri kuwa kinywani mwangu hayatoki maneno ya kushusha staha ya mtu, kutukana, wala dharau (nielekeze nilitakiwa kuleta uzi gani wa kukufurahisha?)
Hivi mtu unaweza kutafuta uteuzi kwa kuomba mkoa mpya wa Nyakanazi? Njoo na tusi jingine Mkuu
Ni online kweli hebu jaribu uone, kuna baadhi ya walimu bado wagumu kuAdoptUhamisho wa Wanafunzi unafanyika Online sikuhizi. Kwahiyo hakuna gharama tena
Ye anawaza mkoa wa Rubondo wewe unawaza mkoa wa Nyakanazi?
Kuna kitu hukijui kwa faida ya wengine elewa yafuatayo:-Kwa hiyo Kigoma wewe ndiyo bonge la mjanja unaweza kuomba mkoa kuliko RCC?
namshangaa, halafu mbaya zaidi hajaitaja chato!Yaani uanzishwe mkoa kwa sababu ya shule na kusafirisha watoto?
Unataka niitaje Chato ili iweje jmn - Chato imetajwa mara nyingi tunamshangaa, halafu mbaya zaidi hajaitaja chato!
Peleka kwenye vikao rasmi na usome vigezo vya kuanzisha mkoa mkuu, huyo Rais wako yupo humu?Kuna kitu hukijui kwa faida ya wengine elewa yafuatayo:-
(i). Mwaka 2014 agenda ya kugawa maeneo ya kiutawala kwa kutenga mkoa wa Nyakanazi ilijadiliwa na kupitishwa na RCC Kigoma (kikao kilikubali wilaya ya Kakonko na Kibondo ziunde mkoa mpya wa Nyakanazi)
Mwaka huo huo mkoani Kagera chini ya RC Kanali Fabian Massawe alielekeza kikao cha RCC kiwe na agenda ya kuichukuwa Biharamulo na Ngara ili ziunde mkoa wa Nyakanazi. Kikao kikiwa kwenye hatua za mwisho kufanyika ndipo yalifanyika mabadiriko ya kiuongozi ambapo Kanali Fabian Massawe alitenguliwa na nafasi hiyo kuwekwa RC wa sasa wa Mwanza Mongella. Siku ya kikao agenda hii iliwasilishwa kisha akaagiza kwa kuwa ni mgeni iahirishwe itajadiliwa baadae.
So, muda ulienda ndipo 2015 tuliingia ktk uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi alihamishiwa Mwanza. Lkn pia kama unakumbuka baada ya Rais kuchaguliwa aliagiza kuwa ktk kipindi hicho maeneo mapya ya kiutawala si kipaumbele kwake. Ndiyo maana niliandika "tulikuomba, tunakuomba, na tutamwomba"
Kama hujaelewa niambie nikupe zaidi
Si wajibu wangu kujua yumo au hayumo humu - hili ni jukwaa huru la kisiasa. Jenga tabia ya kuskip hoja unapokuwa huna cha kuchangia.Peleka kwenye vikao rasmi na usome vigezo vya kuanzisha mkoa mkuu, huyo Rais wako yupo humu?
Nilishatoa ufafanuzi kabla, nirudie tena kukujuza kuwa hakuna halmashauri nchini isiyokuwa na vyanzo vya mapato ingawa haimanishi kwamba vyanzo hivyo hulingana (mfano ktk mkoa wa Kagera halmashauri ya Bukoba hailingani na Karagwe)Vipi mtayaweza makusanyo ya halmashauri Au mtaanza na 32%, maana hali sio poa
Hilo ni wazo zuri. Mkoa huo tarajiwa unaweza anzishwa bila kusahau kugawanya mikoa ya Tabora na MorogoroHii hoja ipo poa ili kupeleka huduma karibu na jamii lakini Mkoa unaostahili kugawanywa kwa Sasa ni MOROGORO