Rais Dkt. John Pombe Magufuli, tunaendelea kukuomba Mkoa mpya wa Nyakanazi

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, tunaendelea kukuomba Mkoa mpya wa Nyakanazi

Hizi wilaya zote nne nimezitembelea, kiufupi zimechoka sana kimapato. Haziwezi ku sustain gharama za uendeshaji. Kibondo na Kakonko wakiondoka wakimbizi hazitakuwa na utofauti na vijiji vilivyochangamka. Somehow Ngara. Mzigo wa kuhudumia sekretarieti ya mkoa sio ndogo.
Lindi wanawezaje?
 
Dkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais

Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za Kakonko na Kibondo (Kigoma), na Ngara na Biharamulo (Kagera). Mkoa huu uwe na jumla ya wilaya nne.

Sababu za kutenga mkoa:-

(i). Kutoka Ngara - Bukoba (300kms), Biharamulo - Bukoba (200kms), Kakonko - Kigoma (300kms), na Kibondo - Kigoma (250kms). Kwa haraka ni kuwa mzazi akihitaji kuhamisha mtoto wa shule tu gharama zinakuwa kubwa, watendaji wa Serikali wanaposafiri hutumia mafuta mengi, muda mwingi nk

Kutoka wilaya hizo kuja Nyakanazi:-
Kibondo - Nyakanazi (90kms), Kakonko - Nyakanazi (51kms), Ngara - Nyakanazi (90kms), na Biharamulo - Nyakanazi (45kms). Sifa za eneo hili kuunda mkoa zinatosha sana. Wakuu wa wilaya wanabaki hivyo hivyo, majimbo ya uchaguzi yanabaki hivyo hivyo kitakachoongezeka ni Ofisi ya Mkuu wa mkoa na mamlaka zake.

Dkt. John Pombe Magufuli (Rais), naleta kwako maombi haya mahususi nikiamini kuwa utatenda lkn niseme tulikuomba, tunakuomba na tutakuomba.

Mungu akubariki wewe na wananchi unaowaongoza,
Mungu ibariki Tanzania

Msakila M Kabende
Kigoma
13 Januari, 2021
Ina make sense Sana Sana aongeze na Chato iwe makao makuu ya nchi
 
Hizi wilaya zote nne nimezitembelea, kiufupi zimechoka sana kimapato. Haziwezi ku sustain gharama za uendeshaji. Kibondo na Kakonko wakiondoka wakimbizi hazitakuwa na utofauti na vijiji vilivyochangamka. Somehow Ngara. Mzigo wa kuhudumia sekretarieti ya mkoa sio ndogo.
Wilaya hazijiebdeshi ndio maana kuna serikali kuu
 
Jidanganye, mkoa tunauunda huku Chato na utaitwa mkoa wa Rubondo makao makuu yatakuwa Chato! Huko unakotaka Kuna hospital ya rufaa? Kuna uwanja wa ndege? Kuna vyuo vya Veta?
Leo msibani hili jambo linewekwa wazi
 
Back
Top Bottom