Lindi wanawezaje?Hizi wilaya zote nne nimezitembelea, kiufupi zimechoka sana kimapato. Haziwezi ku sustain gharama za uendeshaji. Kibondo na Kakonko wakiondoka wakimbizi hazitakuwa na utofauti na vijiji vilivyochangamka. Somehow Ngara. Mzigo wa kuhudumia sekretarieti ya mkoa sio ndogo.
Ina make sense Sana Sana aongeze na Chato iwe makao makuu ya nchiDkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais
Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za Kakonko na Kibondo (Kigoma), na Ngara na Biharamulo (Kagera). Mkoa huu uwe na jumla ya wilaya nne.
Sababu za kutenga mkoa:-
(i). Kutoka Ngara - Bukoba (300kms), Biharamulo - Bukoba (200kms), Kakonko - Kigoma (300kms), na Kibondo - Kigoma (250kms). Kwa haraka ni kuwa mzazi akihitaji kuhamisha mtoto wa shule tu gharama zinakuwa kubwa, watendaji wa Serikali wanaposafiri hutumia mafuta mengi, muda mwingi nk
Kutoka wilaya hizo kuja Nyakanazi:-
Kibondo - Nyakanazi (90kms), Kakonko - Nyakanazi (51kms), Ngara - Nyakanazi (90kms), na Biharamulo - Nyakanazi (45kms). Sifa za eneo hili kuunda mkoa zinatosha sana. Wakuu wa wilaya wanabaki hivyo hivyo, majimbo ya uchaguzi yanabaki hivyo hivyo kitakachoongezeka ni Ofisi ya Mkuu wa mkoa na mamlaka zake.
Dkt. John Pombe Magufuli (Rais), naleta kwako maombi haya mahususi nikiamini kuwa utatenda lkn niseme tulikuomba, tunakuomba na tutakuomba.
Mungu akubariki wewe na wananchi unaowaongoza,
Mungu ibariki Tanzania
Msakila M Kabende
Kigoma
13 Januari, 2021
Wilaya hazijiebdeshi ndio maana kuna serikali kuuHizi wilaya zote nne nimezitembelea, kiufupi zimechoka sana kimapato. Haziwezi ku sustain gharama za uendeshaji. Kibondo na Kakonko wakiondoka wakimbizi hazitakuwa na utofauti na vijiji vilivyochangamka. Somehow Ngara. Mzigo wa kuhudumia sekretarieti ya mkoa sio ndogo.
74 kmKutoka Chato hadi Nyakanazi ni km ngapi? Kama ni double digits kama ilivyo kwa wilaya zingine ulizotaja, bandiko lako lingepewa heshima kama ungeiweka Chato kwenye list na Makao makuu ya mkoa yawe Chato.
Asante kwa kulifafanua hili, wengi uelewa ni mdogo sanaWilaya hazijiebdeshi ndio maana kuna serikali kuu
Leo msibani hili jambo linewekwa waziJidanganye, mkoa tunauunda huku Chato na utaitwa mkoa wa Rubondo makao makuu yatakuwa Chato! Huko unakotaka Kuna hospital ya rufaa? Kuna uwanja wa ndege? Kuna vyuo vya Veta?