Tetesi: Rais Dkt Magufuli kufanya ziara nchini China

Mkuu hii ni soverign state. Hii sio NGO ambayo kila siku mnawaza misaada. Hapa kuna zaid ya misaada. Sasa hivi impot kubwa ya nchi inatoka china. Wafanyabiashara wengi wanaagiza bidhaa kutoka china ikiwemo Marekani. Kwa hiyo kwenda china na kuimarisha uhusiano na china ni faida kubwa kwa nchi. Kule kuna mpaka wafagizi wa hotel kutoka tz. Sio sawa na Marekani. Hakuna mtanzania anaeweza kuagiza bidhaa kutoka Marekani.

Halafu wale jamaa wa MCC walisha suspend misaada yao. Kwa hiyo sio muhimu kwa sasa. Mambo yote muhimu yakishafanyiwa kazi ndo unaanza ku deal na hao MCC tuone kama wanaweza kurudisha misaada yao au ni porojo zao tu.

Ukiwa na majeruh na mtu mzima halafu na marehem. Unaanza kwanza ku deal na mtu mzima then majeruhi halafu wa mwisho ni marehem.
 
Joka la makengeza haliguswi,weee na yale mapepo?!Thubutu watu wataikimbia nchi.
CCM ni ile ile na Wembe ni ule ule. Yaani kama kujidai unatumbua Majipu halafu unamuacha Chenge wa Escrow aongoze Bunge.
 
Kwani viongozi wakuu WA nchi hii China wameanza kwenda Leo? Rais wao alianza kuzuru nchi gani hapa Africa? Wachina wana mikataba mingapi na sisi? Hivi kwanini watanzania tuna uwezo mdogo/finyu/duni Sana WA reasoning kiasi hiki?


Duh, watu wabishi aisee!? Ubishi wa namna hii unatia huruma
 
Marekani na Yuropa wakisikia hivi, lazima warejeshe hela walizosusa kuzitoa.

Hawatakubali kuona mchina anapata influence kubwa namna hii ukanda huu.
Na ukitaka kupata influence kwa masikini, we mwaga mihela, utapendwajeee
Wala usijidanganye ndugu yaangu. Mugabe alikwenda China mara 70 lakini hawakurejesha!
 
JK alicheza kama Pelle kutuletea Magu
JK alimtaka uyo wa kwenye avatar yako!hakua na uweledi wa kumuibua JPM,husu ni faida ya vita panzi tu,Mungu alishapanga aje mtu makini manake Jk alishafanya ikulu shamba la bibi!sijui anajionaje akiwa msoga jinsi jamaa anavyopambana na wale aliokua anawalinda kwa hali na mali.Ritz moja naye hasikiki kabisa saivi,jpm noma sana japo inshu ya zenji kaboronga na itamcost kwy legacy yake
 

Hoja si kukataa misaada, bali kutathmini masharti ya misaada. Na mwisho wa siku iwe ni misaada itakayotujengea uwezo wa kuitegemea kama taifa. Kuna masuala ambayo hayahitaji uchama-chama...
 
Kwa hiyo ndio Maana tumehamia China
 
Kama ni kweli Tz tunabahati mbaya na kupata viongozi wasio na maono wala wasioitakia nchi hii mema bali kuchumia tumbo zao mchina na mrusi sio wa kushirikiana naye kwa undani kiuchumi na kiusalama Nyerere alifanya kishindikana wasema wajamaa kumbe bepari, sio wakweli na wako kwa ajili ya maslahi yao na kuunga mkono viongozi wanaolinda maslahi yao hata kama wanaua wananchi wao, mfano zimbabwe na sudani nk.
 
Amenogewa capet jekundu,Watanzania aangalie usije akamzidi VASCO DAGAMA
 
Wachina ni wachumia tumbo hawana msaada wowote kwa mataifa yanayoendelea!! Huwa ni wababaishaji duniani hakuna! Sasa wameamua kuleta vijana wao kwa gear ya wakalimani! Uhamiaji amkeni ndio njia ambayo wanatumia sasa
 

Mrabaha ni 4% sio 3%.Mikataba yote alisaini JK ni yakupitia upya na kufanya marekebisho na mingine bora kuivunjilia mbali km haina tija kwa taifa letu.China inataka ubia na mataifa ya Afrika kwa ajili ya makampuni yake ya ujenzi nk na pia kuongeza ushawishi wao Afrika.Angeenda Vietnam tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao kuliko wachina wanaongoza kwa biashara ya pembe za ndovu na kuifanya tz dampo mpk la yeboyebo
 
Duh, watu wabishi aisee!? Ubishi wa namna hii unatia huruma
Hivi mbona Marekani na Ulaya haikufungua vikwazo vya Zimbabwe baada ya Mugabe kufungamana na China? Mbona China hakumwaga hayo mapesa kuokoa uchumi wa Zimbabwe? Sio kosa lenu.... Lishe duni imewatafuna akili zenu kiasi cha kushindwa kufikiri.
 
Reactions: Gut
Hivi mbona Marekani na Ulaya haikufungua vikwazo vya Zimbabwe baada ya Mugabe kufungamana na China? Mbona China hakumwaga hayo mapesa kuokoa uchumi wa Zimbabwe? Sio kosa lenu.... Lishe duni imewatafuna akili zenu kiasi cha kushindwa kufikiri.

Watu wabishi bwana! inatia huruma....unayosema kuhusu "lishe duni imewatuna akili ..." inaweza kuwa ni opposite.
 
Unfortunately, China is our competitor in development while Europe and America are not, rather our partners. The good thing of partnership is that, you set cooperation frameworks and draw lines for each part to play for. No such frameworks and lines under competition. There are only "signed" agreements under the auspices of international legal practice. "Playing" is a matter of smartness of the parties. One mistake, one goal! No referee, nor assistant, no penalty, no goal kick. Only "written" international legal practices.....Still loading when considering china/Africa economic cooperation. Watch out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…